Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Uoga wako tuBasi tutapata kazi kubwa ya kupambana na matatizo mawili, covid-19 na stupidity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga wako tuBasi tutapata kazi kubwa ya kupambana na matatizo mawili, covid-19 na stupidity
Kwa hiyo atatafutiwa usafiri maalum kumrudisha Tz au ni mpaka janga liishe ndio atarudishwa?Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:-
“Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa na Balozi wetu ya kutii maagizo ya mamlaka za hapa, na kufuata sheria. Inatajwa kuwa mtanzania mkazi wa Beijing anayefanya kazi kwa miaka mingi hapa China.
Huyu jamaa anatajwa kuwa alikuwa anaenda Tanzania lakini safari haikuendelea kwa kuwa Dubai hakuna ndege ya kwenda Tanzania akalazimika kurudi Beijing, lakini baada ya kurudi Beijing alikataa kuvaa mask (huku china kuvaa mask kwa mtu yeyote ni lazima), alitoa lugha ya kifedhuli kwa mamlaka husika, na baada ya kuambiwa awe kwenye karantini aliikuka agizo na alivuinja camera ya usalama kwenye eneo analokaa na kutoka nje”
Nyongeza ya taarifa.
“Order ya deportation mtanzania mwenzetu niliyewaambia asubuhi imetolewa”View attachment 1406758View attachment 1406763
sio kwa mahaba haya..kila saa unamuwaza chadema , kuliko hata mkeo kule nyumbani na watotoChadema wameharibu vijana wetu ndiyo maana wengine wanadiriki hadi kwenda gerezani kuwapa amri na kupambama na KM.
north korea hawakuulizi mara moja..ni shaba tu kwaheri ...nchi inapewa siku 7 kuja kuchukua maiti zikipita maiti inapelekewa masimba ya kaka kipankiHao wachina ni wastaarabu sana angekuwa North Korea tayari ndugu zake wangekuwa wanaanua matanga.
Analeta uchoko kwenye nchi za watu.?
mgonjwa wa akili huyo mbona anajulikana mkuu..Hivi una akili sawasawa kweli?
msela mavi huyo jamaaWabongo katika ubora wao
Uharifu ni tabia ya mtu wala hauna uhusiano na nchi mharifu anayotoka, waharifu wapo kila pembe ya dunia hata hapa nilipokaa kuna mharifu anasubiri nijisahau afanye uharifu.
How is it a surprise kwamba mtanzania kafanya uharifu china?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumerithi kwa baba yetu.Yaani sisi majeuri kila sehemu
Kule Philippines raising ameamuru polisi na jeshi kumtwanga risasi raia yeyote anayekaidi amri ya 'lockdown'. Dah! Sijasikia wale watetezi wa haki za binadamu wakitoa neno, na sijui wamevurugwa?Hao wachina ni wastaarabu sana angekuwa North Korea tayari ndugu zake wangekuwa wanaanua matanga.
Analeta uchoko kwenye nchi za watu.?
Hatuangalii yeye ni nani. Kama wasemavyo wenzetu "hakuna kwa nini wala kya nani", huyu jamaa ni moja kwa moja karantini ya siku 14 na akitoka huko ni safari ya kurudi kijijini kwao.amelikoroga
na akitua tu airport bongo ni direct kwenye quarantine kwa lazima...tena kwa garama zake binafsi.
Mkataa Pema Pabaya Panamwita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli ana sonona maana hajihurumii hata kidogoAna frustrations zake za maisha huyo