Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Angalau anaonyesha ujasiri na kuitendea haki professional yake..Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson....
Pascal Mayalla yeye anaona sawa tuAngalau anaonyesha ujasiri na kuitendea haki professional yake..
Sasa kama wakili mzima na mwandishi wa habari kwenda kwenye matukio lazima kwanza hahakikishiwe pesa ya maji na posho unategemea nini.. wamezoea kufanya kazi kwa mazoea..!Pascal Mayalla yeye anaona sawa tu
JF raha...Atakuja hapa ku like basiPascal Mayalla yeye anaona sawa tu
Joined March 2024, jifunze lugha zenye staha kwanzaHuyo sio mzalendo labda ni mwoga kama dem mwenye bikra yake nimuona mzalendo kama angeshitaki serikali ya jiwe kipindi hicho
Hiki ni kielelezoNchi ilipata dikteta mshamba na muoga.View attachment 3043140
Wee jamaa una kiwango kidogo sana kichwaniHiyo kesi wataomba declaratory orders tu ambazo haziko enforceable.
Hivi nchi ingechafuka 2020 hata hiyo kesi wangeenda kuifungua? Panapokuja maslahi ya kiusalama, dola itafanya lolote luilinda nchi. Gharama za kuilinda amani ni ndogo kuliko za kuirejesha...
Kwa nini mkuu?Wee jamaa una kiwango kidogo sana kichwani
Umuhimu wa kesi hii huuoni unaona ngono tu!Kwa nini mkuu?
Hizo kesi zina serve academic purposes tu, ni sawa na ile hadithi ya Juma na Roza,Umuhimu wa kesi hii huuoni unaona ngono tu!