Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ahahahaha,
Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii.
Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au ajira.
Hebu kuweni wazi kuwa nimetimuliwa au nimenyimwa mkataba mpya sio unaongopa then few minutes later unaomba msaada.