Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wanasahau kuwa huwezi kutoboa usipoikubali kwanza hali yako(default mode).Wabongo hatukubali kushindwa
Ndio hivyo! Sababu wabongo wanafurahi Sana kusikia mabaya yakiwapata wenzao...hiyo ndio dawa yao
AhahahahaNiseme ukweli ili unicheke?
Bongo mtu kafukuzwa kazi anasema kuwa kampiga boss na kuamua kuacha kazi yeye mwenyewe[emoji23] [emoji23] bongo balaa
Sio wabongo Bali Ni asili ama nature ya ubongo kutokubali ukweli ama uhalisia wa Jambo Maana Kuna maumivu na kazi ya ubongo Ni ku shield na maumivuTukisema ukweli hampokei simu zetu
ni kweli, ila mkuu ukifunguka ukweli kila mtu anakupotezea, bora ukiwaficha unawaacha na maswali bila uhakika hhahhhSio wabongo Bali Ni asili ama nature ya ubongo kutokubali ukweli ama uhalisia wa Jambo Mana Kuna maumivu na kazi ya ubongo Ni ku shield na maumivu
Hakika, maana kuaandika kwa furaha haswaMfano ni mleta Mada
HATA WEWE UNGESEMA HIVYO HIVYOAhahahaha,
Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii.
Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au ajira.
Hebu kuweni wazi kuwa nimetimuliwa au nimenyimwa mkataba mpya sio unaongopa then few minutes later unaomba msaada.