TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

Ndio hujaelewa mbuzi wewe, kuna mtu sehemu yoyote umeona kaomba mchango??Watu tupo kwenye majonzi mibongo inaandika upuuzi upuuzi tu humu.
Mchango wa kusafirisha maiti kurudi bongo sasa hua ndo kimbembe , unahisi mwandishi alimaanisha nini??
Wenye majonzi wako busy wanaomboleza, wewe unakuja kupiga domo hapa.
 
Unapenda ligi eehheee?
 
kama alikua anadrive in a wromg way kama tarifa ya habari inavyosema unataka tusemeje, inamaana kama hapo bongo mtu aendeshee kulia badala ya kushoto unatarajia akipata majanga watu wasimshangae? marehemu alijitakia pamoja na kwamma amekaa USA kwa muda .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…