TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

R.I.E.P Prosper Kiswaga.

Wamegongwa na gari ingine, dereva aliacha upande wake akawagonga. Yeye hakuwa amekunywa bali bia moja, wenzake walisema kunywa hata moja. Hakutaka kunywa pombe kabisa usiku huo.

Mkewe yupo ICU anaitwa Pendo
Alicheza mziki sana na mwanae binti aliyeolewa tayari, alimzaa na Mama ake anaishi Tanzania.

Walikuwa wanatoka kwenye first oldies muziki pati, muandaaji alianza kuzifanya ikawa ya kwanza. Alicheza sana mziki na binti yake Mrs wa mtu, ambaye alimzaa na mwenza anaishi Bongo.

Polisi wanajua yote naeneo, baada ya ajali walienda kwenye pati na kuwa pa taarifa kuna kama wenzao amepata ajali, hivyo wakawaomba wachache waende nao. Na, ndio ikawa hivyo..

Mkewe ana watoto kabla yao, nao wana wawili pamoja.

Inasikitisha, maombi kwa mke wake.
Kiswahili kigumu nyie.
 
Kwa comment hii,neno lako la kusema kua hakua amekunywa linakosa uhalali,ila ukweli ni kwamba alikua amekunywa,

Au mimi ndio sijui tafsiri ya kunywa watu wangu wa huko Daslamu mnasemaje?

Mmmh jiongeze hapo, kunywa kulewaaa.. Naenda nje ya BOKSI sio kila kitu muandikiwe akina nyie.
 
Doooh ungeandika tu kizungu bibie 😄

Hakinogi humu kuburudika 🤣
Google translate itanihusu haswaa sasa.. Kiukweli najishangaa maana naona nimeandika sema kimkato.. Kumbe duh!!! 🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️

😍🤗
 
Back
Top Bottom