TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

R.I.E.P Prosper Kiswaga.

Wamegongwa na gari ingine, dereva aliacha upande wake akawagonga. Yeye hakuwa amekunywa bali bia moja, wenzake walisema kunywa hata moja. Hakutaka kunywa pombe kabisa usiku huo.

Mkewe yupo ICU anaitwa Pendo
Alicheza mziki sana na mwanae binti aliyeolewa tayari, alimzaa na Mama ake anaishi Tanzania.

Walikuwa wanatoka kwenye first oldies muziki pati, muandaaji alianza kuzifanya ikawa ya kwanza. Alicheza sana mziki na binti yake Mrs wa mtu, ambaye alimzaa na mwenza anaishi Bongo.

Polisi wanajua yote naeneo, baada ya ajali walienda kwenye pati na kuwa pa taarifa kuna kama wenzao amepata ajali, hivyo wakawaomba wachache waende nao. Na, ndio ikawa hivyo..

Mkewe ana watoto kabla yao, nao wana wawili pamoja.

Inasikitisha, maombi kwa mke wake.
Oooooh cocochanel naona umepata sana tabu kuandika kwa kiswahili ☺️
 
Kwa hiyo wewe umefuata mkumbo wa jf?
Baada ya kujifunza, kuchunguza, kutafiti na kudadisi ukweli wa imani za uwepo wa huyo Mungu, Nimegundua ni Uongo.

Huyo Mungu hayupo.

Ni Matango pori tu, yaku karirishwa tangu utotoni.
Maana miaka yote tangu uzaliwe ulikuu wa ukiamini Mungu yupo,baada ya kuingia jf tu unakutana na ma atheist huku basi ukateleza nao
Kuaminishwa, tunaaminishwa uongo tangu utotoni.

Ila jukumu la kuutafuta ukweli ni letu wenyewe binafsi.

Kwa hiyo huwezi kuendelea kuamini uongo kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa na wazazi wako au watangulizi wako.
 
Sasa kama haikuathiri chochote,wewe imani zao unazitakia nini? just live ur life.
I live my life.

Na wao wana live their lives.

Lakini wakija hapa JF na habari zao za uwepo wa huyo Mungu lazima tuzichambue na kuzikosoa

Unless otherwise, wabaki nazo hukohuko mioyoni mwao.

Sio kuja hapa JF kuhubiri hizo habari za uwepo wa huyo Mungu.

Utalishwaje matango pori wakati wewe huamini? ungekua serious ungewaignore tu coz haikuhusu wala haikuathiri.
Mimi nazikosoa wala hazi niathiri chochote.
Ndio maana nikakwambia waache waamini wanachokiamini.
Hakuna mtu aliye lazimishwa aache kuamini anacho kiamini

Ila akianza kudai kwamba anacho kiamini ni kweli, lazima athibitishe hilo.

Na lazima tuchambue hiyo imani yake kuihakiki na kujua kama ni imani ya ukweli au uongo.
Wewe ndio unataka kuwashikia life yao,waache waamini Mungu wao,
Mbona unakua na akili nzito sana ya uelewa?
Hakuna aliyelazimisha mtu aache kuamini huyo Mungu wake.
 
Baada ya kujifunza, kuchunguza, kutafiti na kudadisi ukweli wa imani za uwepo wa huyo Mungu, Nimegundua ni Uongo.

Huyo Mungu hayupo.

Ni Matango pori tu, yaku karirishwa tangu utotoni.

Kuaminishwa, tunaaminishwa uongo tangu utotoni.

Ila jukumu la kuutafuta ukweli ni letu wenyewe binafsi.

Kwa hiyo huwezi kuendelea kuamini uongo kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa na wazazi wako au watangulizi wako.
Weka hizo research zako hapo, tuone na hilo hitimisho lake.

vinginevyo kwaheri.
 
Jamani kumbukeni huu uzi ni wa msiba wa mtu, aliyetoka katika a real family, ana ndugu, wengine pengine wanakuja hapa.

Nakuombeni muupe nafasi yake kama uzi wa msiba, si uzi wa mabishano.

Mama Kiswaga kaishi vizuri sana na jamii ya Watanzania. Prosper was a real dude.

Huu msiba wa mtaani kabisa naona watu wanafanya ligi kwenye uzi wa msiba.
 
I live my life.

Na wao wana live their lives.

Lakini wakija hapa JF na habari zao za uwepo wa huyo Mungu lazima tuzichambue na kuzikosoa

Unless otherwise, wabaki nazo hukohuko mioyoni mwao.

Sio kuja hapa JF kuhubiri hizo habari za uwepo wa huyo Mungu.

Mimi nazikosoa wala hazi niathiri chochote.

Hakuna mtu aliye lazimishwa aache kuamini anacho kiamini

Ila akianza kudai kwamba anacho kiamini ni kweli, lazima athibitishe hilo.

Na lazima tuchambue hiyo imani yake kuihakiki na kujua kama ni imani ya ukweli au uongo.

Hakuna aliyelazimisha mtu aache kuamini huyo Mungu wake.
Hueleweki hata unachokisimamia,comment zako zinapingana zenyewe kwa zenyewe,
Ngoja nikuache tu nisipoteze muda wangu.
 
Tatizo linaanzia hapa, Prosper Prosper! Sijui tutajulishana vipi mpaka tuwafikie wa nyumbani! Yote ni kheri.

The crash, reported at 3:10 a.m., took place near 9701 US 90.

One of the vehicles involved was a Honda Pilot driving the wrong way in the westbound lanes; it is currently unknown if the driver was under the influence. Another vehicle involved was a Toyota Highlander.

The Sugar Land Police Department identified the people who died after next-of-kin was notified. The driver of the Pilot is identified as Gonzalo Christian Sosa, 41, of Houston.

The driver of the Highlander is identified as Prosper Lusinde Kiswaga, 52, of Richmond.
 
Hivi wazazi hufikiria nini pale wanapo wapa watoto wao double names ( the same first and middle names)
Mfano: Prosper Prosper.

Kuna jamaa nawafahamu, tupo nao mtaani, majina yao huwa yananifikirisha sana.
Majina yao:
James James
Hassan Hassan
Idi Idi
Ally Ally

Je hawapati changamoto zote zote wakati wa kupewa huduma katika financial transactions na sehemu nyingine?
Anaitwa Prosper Walter Kiswaga
 
Back
Top Bottom