R.I.E.P Prosper Kiswaga.
Wamegongwa na gari ingine, dereva aliacha upande wake akawagonga. Yeye hakuwa amekunywa bali bia moja, wenzake walisema kunywa hata moja. Hakutaka kunywa pombe kabisa usiku huo.
Mkewe yupo ICU anaitwa Pendo
Alicheza mziki sana na mwanae binti aliyeolewa tayari, alimzaa na Mama ake anaishi Tanzania.
Walikuwa wanatoka kwenye first oldies muziki pati, muandaaji alianza kuzifanya ikawa ya kwanza. Alicheza sana mziki na binti yake Mrs wa mtu, ambaye alimzaa na mwenza anaishi Bongo.
Polisi wanajua yote naeneo, baada ya ajali walienda kwenye pati na kuwa pa taarifa kuna kama wenzao amepata ajali, hivyo wakawaomba wachache waende nao. Na, ndio ikawa hivyo..
Mkewe ana watoto kabla yao, nao wana wawili pamoja.
Inasikitisha, maombi kwa mke wake.