TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

Hakinogi humu kuburudika 🤣
Google translate itanihusu haswaa sasa.. Kiukweli najishangaa maana naona nimeandika sema kimkato.. Kumbe duh!!! 🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️

😍🤗
Andika tuu kwa international audience 😆
 
Maisha yana sehemu kuu tatu; Kuzaliwa-Kuishi-Kufa
Tuliobaki, tumebakiza hiyo ya mwisho (kufa); mwenzetu ametangulia nasi tutamfuata.​
 
Pamoja na magumashi ya uislamu ila kwenye ndoa na mazishi wameupiga mwingi sana mtu akifa na azikwe popote
Kwa sentesi hiyo mkuu una maana Ukristo unakuzimisha ukifa ukiwa mbali na kwenu lazima usafirishwe ukazikwe kwenu, kitu ambacho si kweli. Kwa ufupi Ukristo unakupa freedom ya kuzikwa upendavyo iwe ughaibuni au kwenu, uzikwe muda gani baada ya wewe kufa it's up to you ya weza kuwa dakika 10 baada ya kufa au mwaka baada ya kufa. Unaweza kuzikwa kwenye coffin au la. Chaguo ni lako hakuna mambo ya kulazimishana.
 
Michango wa kusafirisha maiti kurudi bongo sasa ndo huwa kimbembe. Yule Edm hutamsikia hapo. Mtu amekaa mbele Miaka kadhaa ila ukimchek Hata lugha utata mtupu
Mtu umeenda mwenyewe ukifa unataka watu wachange urudishwe! Ama Ni mimi tu ndo sijaelewa??
 
Back
Top Bottom