Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Hata mimi nimemuacha maana haeleweki,napoteza nguvu zangu bureHueleweki hata unachokisimamia,comment zako zinapingana zenyewe kwa zenyewe,
Ngoja nikuache tu nisipoteze muda wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimemuacha maana haeleweki,napoteza nguvu zangu bureHueleweki hata unachokisimamia,comment zako zinapingana zenyewe kwa zenyewe,
Ngoja nikuache tu nisipoteze muda wangu.
Hazikwi atachomwa... Ndo maisha ya majuu 😔Kuna watanzania huko wamzike sio lazima asafirishwe , kama familia iko fresh basi wamzike..
😂 Wazungu hawana akili kwakweliKule nasikia makaburi yanapangishwa kila mwezi unatakiwa kulipa kodi. Alisikika mlevi mmoja akinena
Unadanganya... Ungeijua kazi yako hata usingekosea na kuandika. Ni "Lecturer" sio LectureLecture
Wao ndo SI unit ya Hela nchii hii mkuu....Kwa hela ipi?
Kiswahili kigumu nyie.R.I.E.P Prosper Kiswaga.
Wamegongwa na gari ingine, dereva aliacha upande wake akawagonga. Yeye hakuwa amekunywa bali bia moja, wenzake walisema kunywa hata moja. Hakutaka kunywa pombe kabisa usiku huo.
Mkewe yupo ICU anaitwa Pendo
Alicheza mziki sana na mwanae binti aliyeolewa tayari, alimzaa na Mama ake anaishi Tanzania.
Walikuwa wanatoka kwenye first oldies muziki pati, muandaaji alianza kuzifanya ikawa ya kwanza. Alicheza sana mziki na binti yake Mrs wa mtu, ambaye alimzaa na mwenza anaishi Bongo.
Polisi wanajua yote naeneo, baada ya ajali walienda kwenye pati na kuwa pa taarifa kuna kama wenzao amepata ajali, hivyo wakawaomba wachache waende nao. Na, ndio ikawa hivyo..
Mkewe ana watoto kabla yao, nao wana wawili pamoja.
Inasikitisha, maombi kwa mke wake.
Nayo kaziR.I.P mbeba box
Kwa comment hii,neno lako la kusema kua hakua amekunywa linakosa uhalali,ila ukweli ni kwamba alikua amekunywa,
Au mimi ndio sijui tafsiri ya kunywa watu wangu wa huko Daslamu mnasemaje?
Nimeshindwa kujiongeza ndio maana nikauliza coz haiwezekani mtu anywe ila awe hajanywa!Mmmh jiongeze hapo, kunywa kulewaaa.. Naenda nje ya BOKSI sio kila kitu muandikiwe akina nyie.
Oooooh cocochanel naona umepata sana tabu kuandika kwa kiswahili ☺️
Kiswahili kigumu nyie.
Nimeshindwa kujiongeza ndio maana nikauliza coz haiwezekani mtu anywe ila awe hajanywa!
Doooh ungeandika tu kizungu bibie 😄Jamani weweeee sijapatia kabisa 😅😅😅🤗
Kama wewe ulivyojitambua kisha ukaandika kwa usahihi tena kwenye comment yako # 156 ?Bora umetambua hilo.
Doooh ungeandika tu kizungu bibie 😄