Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Wee pimbi, hio michango mnachanga nyie huko wala vumbi au huku ?? Uliwahi ona watu wa mamtoni wakalalamikia hio michango?? Na kwanza kuzikwa ni popote , sasa hivi tunafuata mfumo wa kiislam. Kama huna la kuongea funga domo lako.Mchango wa kusafirisha maiti kurudi bongo sasa hua ndo kimbembe , unahisi mwandishi alimaanisha nini??
Wenye majonzi wako busy wanaomboleza, wewe unakuja kupiga domo hapa.
Ukishaona mnachangishana changishana juwa bado ni walala hoi shehee hamna tofauti na sisi ni kihelehele tu kimewapeleka US.Wee pimbi, hio michango mnachanga nyie huko wala vumbi au huku ?? Uliwahi ona watu wa mamtoni wakalalamikia hio michango?? Na kwanza kuzikwa ni popote , sasa hivi tunafuata mfumo wa kiislam. Kama huna la kuongea funga domo lako.
Rip PPWakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujia.
Msiwe mnapenda kuongea bila fact. Mtanzania alikuwa ana Drive kwenye lane yake akiwa n Toyota Highlander alikuwa anaendesha upande sahihi, huyo aliemgonga ndio alikuwa ana drive upande sio sahihikama alikua anadrive in a wromg way kama tarifa ya habari inavyosema unataka tusemeje, inamaana kama hapo bongo mtu aendeshee kulia badala ya kushoto unatarajia akipata majanga watu wasimshangae? marehemu alijitakia pamoja na kwamma amekaa USA kwa muda .
Who wasn’t drunk?Msiwe mnapenda kuongea bila fact. Mtanzania alikuwa ana Drive kwenye lane yake akiwa n Toyota Highlander alikuwa anaendesha upande sahihi, huyo aliemgonga ndio alikuwa ana drive upande sio sahihi
Wrong way
Who wasn’t drunk?
Yaani mtu anaendesha gari wrong way, halafu kwa speed ya kutosha kuua mtu halafu asiwe under the influence of something that causes impairment?
The wrong way driver must have been under the influence!
Hard to believe he wasn’t.
nimemjibu huyo kenge hata taarifa ya habari imesema akaanza kushupaza shingo mitanzania mijinga sana, anajariu kumtetea mmasai mwezie aliyejiua kwa mispidi ya ajabu na kutofuata sheria.Who wasn’t drunk?
Yaani mtu anaendesha gari wrong way, halafu kwa speed ya kutosha kuua mtu halafu asiwe under the influence of something that causes impairment?
The wrong way driver must have been under the influence!
Hard to believe he wasn’t.
Mzee,Sasa ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu ili uni prove wrong kwamba hayupo.
Maana madai ya uwepo wa huyo Mungu yametoka kwenu ninyi watu wa imani.
Na mimi napingana na hizo imani zenu kwa kusema huyo Mungu mnaye amini na kudai yupo, Hayupo.
Na madai yenu pamoja na imani zenu ni UONGO.
Mimi sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika na uthibitisho.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Mimi sina imani ya aina yeyote ile.
Anapigia kura CCM .....Wewe unafanya kipi cha maana Tanzania?
Hata ardhini ni mahala pema.
Mbinguni(peponi) ni dhana za kufikirika za kujifariji tu.
Kujipa matumaini uchwara.
Muulize yeye.Yeye anasema hakuna mambo ya pema wala pabaya, sasa anapomuombea dua alale pema anamuomba nani ambaye anawapeleka watu pema na pabaya? Kama vitu vipo kiasili tu kuna haja gani ya kuomba?
Upate kuanzia nini?Mzee,
Napenda kujua vitu hivi kutoka Kwako Kama hauto jali...
Umri wako, elimu, unatumia kilevi chochote ,unajishuhulisha na Nini,wewe ni wangapi kuzaliwa kwenu, makuzi yako 😊, una malezi ya pande MBILI
Nauliza haya sio kwa kebehi nauliza kwa Nia njema ili tupate pa kuanzia..
Shukrani.
Muujiza wa kwanza wa Yesu aligeuza maji kuwa pombe kwenye harusi Kana.waja ikimbieni pombe ni haramu
Siitaji ligi mkuu nilipenda kujua vitu nilivyo vitaja hapo juu comment #209Upate kuanzia nini?
walevi ni wapumbavu nduguMuujiza wa kwanza wa Yesu aligeuza maji kuwa pombe kwenye harusi Kana.
Kama sijaelewa Kuna wanywaji na waleviwalevi ni wapumbavu ndugu
Unajuaje kama ardhini ni mahala pema ?Hata ardhini ni mahala pema.
Mbinguni(peponi) ni dhana za kufikirika za kujifariji tu.
Kujipa matumaini uchwara.
Hili sharti la kwamba lazima uishi ndio iwe uthibitisho wa uwepo wa kitu umelipata wapi ?Maiti zinazikwa ardhini na hilo linaonekana.
Sasa wewe unathibitishaje mtu akifa huenda mbinguni?
Ulishawahi kuishi huko mbinguni au kuona mtu akienda huko mbinguni?
Kwanza unathibitishaje Mbinguni kupo?
Prosper Kiswaga wa Mwakaleli Rungwe Mbeya.Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujia.