Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Wee pimbi, hio michango mnachanga nyie huko wala vumbi au huku ?? Uliwahi ona watu wa mamtoni wakalalamikia hio michango?? Na kwanza kuzikwa ni popote , sasa hivi tunafuata mfumo wa kiislam. Kama huna la kuongea funga domo lako.Mchango wa kusafirisha maiti kurudi bongo sasa hua ndo kimbembe , unahisi mwandishi alimaanisha nini??
Wenye majonzi wako busy wanaomboleza, wewe unakuja kupiga domo hapa.