TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

Kwa kutumia hilo tamko lako basi ni sawa pia kusema Mungu asingekuwepo wala kusingekua na haja ya kuhoji uwepo wake,wala hilo jina la Mungu lisingekuwepo kabisa,
Sasa ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu ili uni prove wrong kwamba hayupo.

Maana madai ya uwepo wa huyo Mungu yametoka kwenu ninyi watu wa imani.

Na mimi napingana na hizo imani zenu kwa kusema huyo Mungu mnaye amini na kudai yupo, Hayupo.

Na madai yenu pamoja na imani zenu ni UONGO.
Amini unachokiamini na wengine waache waamini wanachokiamini,Simple tu.
Mimi sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika na uthibitisho.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Mimi sina imani ya aina yeyote ile.
 

Acha kucheza na akili za watu wewe
 
Sasa ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu ili uni prove wrong kwamba hayupo.
Ni wapi Mimi nimesema kua wewe upo wrong?
Maana madai ya uwepo wa huyo Mungu yametoka kwenu ninyi watu wa imani.
Wao wakiamini Mungu yupo,wewe inakuathiri nini kwenye maisha yako?
Na mimi napingana na hizo imani zenu kwa kusema huyo Mungu mnaye amini na kudai yupo, Hayupo.

Na madai yenu pamoja na imani zenu ni UONGO.

Mimi sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika na uthibitisho.
Mimi siamini kwenye kuamini.

Mimi sina imani ya aina yeyote ile.
Sijakwambia uamini imani yeyote ile bali nimekwambia uamini kua Mungu hayupo kama unavyoamini,
Au unafifikiri neno Imani/Kuamini hua ni neno la kidini pekee? Tatizo lako umejikoki kubishana,just live ur life na wenye dini zao let them live their lives.
 
Unaweza kututhibitishia?
Watu wa dini, wakristo wana amini mtu akifa huenda mbinguni kwa Mungu wao wanaomwita Yesu.

Waislamu wana amini mtu akifa huenda Akhera kwa Allah wao. Na wanaume hupewa mabikra.

Huu ni uthibitisho wa imani za watu.
 
View attachment 3085535
Acha kucheza na akili za watu wewe
Wakati najiunga jamii forums August 15 2022.

Nilikuwa bado naamini kwenye uwepo wa huyo Mungu.

Na ndio maana kuna posts zangu za zamani zina komenti za Mungu.

Hilo nakubali na sikatai.

Lakini baada ya kujifunza, kuchunguza, kutafiti na kudadisi ukweli wa imani hizi za Mungu.

Nikaachana na imani hizi za uongo.

Wala hakuna cha ajabu hapo.

Baada ya kuujua ukweli, nimechange mindset.
 
Sasa unauliza ni wapi au unalazimisha pawe mbinguni?

This logocal fallacy is called non sequitur.
Kubali tu kua umejichanganya,kuweka vingereza hakuwezi kukutoa ulipojiingiza.

Hiyo R.I.P ulimaanisha hiyo rest aipate wapi marehemu ikiwa ameshakufa? kama huamini dini utamtakiaje maiti a rest ikiwa kisha kufa tayari?
 


Kwa hiyo wewe umefuata mkumbo wa jf? Maana miaka yote tangu uzaliwe ulikuu wa ukiamini Mungu yupo,baada ya kuingia jf tu unakutana na ma atheist huku basi ukateleza nao
 
Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.

Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas

Taarifa zaidi kukujia.
Hivi wazazi hufikiria nini pale wanapo wapa watoto wao double names ( the same first and middle names)
Mfano: Prosper Prosper.

Kuna jamaa nawafahamu, tupo nao mtaani, majina yao huwa yananifikirisha sana.
Majina yao:
James James
Hassan Hassan
Idi Idi
Ally Ally

Je hawapati changamoto zote zote wakati wa kupewa huduma katika financial transactions na sehemu nyingine?
 
Wanafikiri kusafiri Martin ni sawa na kutowa kabichi lushoto kuja dar

Ova
 
Ni wapi Mimi nimesema kua wewe upo wrong?

Wao wakiamini Mungu yupo,wewe inakuathiri nini kwenye maisha yako?
Hainiathiri chochote.

Ila wakianza kudai kwamba imani zao hizo ni za kweli, Lazima wathibitishe hilo.

Sio kutulisha matango pori yao bila evidence wala uthibitisho.
Kwani kuna mtu amezuiwa kuwa na imani yake?

Kuna mtu ameshikiwa life lake asiliishi?
 
Daaah,

Kumbe huyu Prosper Kiswaga?

Kumbe msiba wa kwa Mama Kiswaga huu?

Daamn, nimeona jina Prosper Prosper halafu sijamuona siju nyingi, sikumtambua hiyo picha.

RIP.
 
Hainiathiri chochote.

Ila wakianza kudai kwamba imani zao hizo ni za kweli, Lazima wathibitishe hilo.
Sasa kama haikuathiri chochote,wewe imani zao unazitakia nini? just live ur life.
Sio kutulisha matango pori yao bila evidence wala uthibitisho.
Utalishwaje matango pori wakati wewe huamini? ungekua serious ungewaignore tu coz haikuhusu wala haikuathiri.
Kwani kuna mtu amezuiwa kuwa na imani yake?
Ndio maana nikakwambia waache waamini wanachokiamini.
Kuna mtu ameshikiwa life lake asiliishi?
Wewe ndio unataka kuwashikia life yao,waache waamini Mungu wao,
Mbona unakua na akili nzito sana ya uelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…