Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu ili uni prove wrong kwamba hayupo.Kwa kutumia hilo tamko lako basi ni sawa pia kusema Mungu asingekuwepo wala kusingekua na haja ya kuhoji uwepo wake,wala hilo jina la Mungu lisingekuwepo kabisa,
Maana madai ya uwepo wa huyo Mungu yametoka kwenu ninyi watu wa imani.
Na mimi napingana na hizo imani zenu kwa kusema huyo Mungu mnaye amini na kudai yupo, Hayupo.
Na madai yenu pamoja na imani zenu ni UONGO.
Mimi sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika na uthibitisho.Amini unachokiamini na wengine waache waamini wanachokiamini,Simple tu.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Mimi sina imani ya aina yeyote ile.