Hiyo picha ukiangalia vizuri iko edited .
Branch hiyo inaitwa Israel Border Police(Magav).
Na ukiangalia requirements za kujiunga na unit hiyo huyo bwana mdogo hakuwa anafit hata kwa asilimia 10% hana vigezo.
Pili operation za majeshi kubadilishana mbinu za kijeshi zipo sana na hazijaanza leo nakuwekea hapa bona fide evidence mjionee
Jeshi moja kubadilishana mbinu za kimedani ni kawaida
Hii ni jeshi la US na Israel
View attachment 2847801
Hii ilikuwa ni hapa hapa Tanzania.
PWANI: Mafunzo ya pamoja kati ya Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) na jeshi la Jamhuri…
habarileo.co.tz
Tusitafute justification kusingizia Joshua alikua mwanajeshi wakati hakuna uthibitsho hata chembe wa yeye kuwa mwanajeshi zaidi ya kuwa mwanafunzi aliyetambulika kutokea chuo cha kilimo.