Huyu jamaa nimuongeaji sana nikapoteza imani kwake kama wabongo wengine,kumbe na matendo in mzuri zaidi. Viva Gidabudai wale wajinga walituchelewesha sana.Sasa hivi yuko nafasi ya tatu...tumuombee..
=====
View attachment 559495
View attachment 559501
At 40km point, with just over a mile to go, Kenya's Geoffrey Kirui leads in 2:01.36. Ethiopia's Tamirat Tola is 52 secs back in 2nd. Tanzania's Alphonce Simbu is 1.22 off the lead in bronze.
Huyo aliye-comment hapo chini ndo kaniacha hoi kabisa
Uhuru ameshampongeza mtu wake, sina uhakika hata kama mheshimiwa anajua kuwa leo simbu amekimbia!
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenJamaa anatokea Arusha.
VIVA ARUSHA
Umri sasa utakuta hapo ashagonga nyundo 35Kwa miaka ijayo jamaa atafanya vizuri zaidi ya leo... last year alikuwa wa 5 sasa hivi kawa wa 3 .tutarajie makubwa kutoka kwake. Hongera saana.
Haha, cha kushangaza eti ni wa 1992. Na mkenya kirui ni wa 1993.Umri sasa utakuta hapo ashagonga nyundo 35
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kwa sasa natokea Tanzania ARUSHA baadaeJamaa anatokea Arusha.
VIVA ARUSHA
Arusha ndio Mkoa Pekee unaowakilisha na kupeperusha bendera ya Tz vizuri
Arusha ni mkombozi wa hii nchi katika kila nyanjaAmen
Hahaha hii ndio Africa mzee kimuonekano tu yule over 30Haha, cha kushangaza eti ni wa 1992. Na mkenya kirui ni wa 1993.
Ila huyu wa kwetu source zingine zinadai ni wa 1985. Sasa sijui which is which?
mkuu umenichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu mkenya anaongoza utafikiri anatumia petrol...speed kama ndio ameanza. Anaitwa Kirui