Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Arusha ni mkombozi wa hii nchi katika kila nyanja
Kuna siku nilikuwa nafigure out idadi ya waandishi wa habari ambao wamekuwa maarufu sana Tanzania kuanzia miaka ya 90 mwanzoni nikagundua asilimia 80 ni wanatokea Arusha.

Mamiss nao wengi wanatokea Arusha na Kilimanjaro...hata miss Tanzania wa sasa. Walikuwepo Nancy sumari, Hoyce Temu, na hata Miss Tanzania wa kwanza kabisa wa miaka ya 60 pia ni wa kaskazini.

WanaHiphop mashuhuri pia wanatokea Arusha.

Ukija kwa Wanariadha...wengi asili yao ni Manyara (zamani ilikuwa Arusha) lakini bado ipo kaskazini kwa sasa. Mfano mzuri ni: John Yuda, Shahanga, Philbert Bayi na hata huyu wa leo hii.

Mungu aliipendelea kaskazini.
 
Anamaliza vizuri ila anachelewa 'to make a decision to go for it'
 
Haha, cha kushangaza eti ni wa 1992. Na mkenya kirui ni wa 1993.

Ila huyu wa kwetu source zingine zinadai ni wa 1985. Sasa sijui which is which?
Whatever is excellent.
 
Alikuwa wa tano, leo wa tatu, kesho atakua wa kwanza.... Kazi nzr sana...
 
Acha habari za ukanda we boya.... Mbona hamujampa bendera ya kaskazini akaenda nayo....
 
Kuna,mpambano mkali sana wa women's marathon Chelimo(mkenya anawakilisha bahrain) kashinda!
 
Kiplagat wa Kenya kawa wa pili....kapitwa kama mita 200 kutoka mwisho....
 
hehe mkenya amepoteza mafuta akapitwa na mkenya mwingine anayekimbilia Bahrain akienda tu kumaliza mbio....
mkenya kapata silver na mmarekani kapata bronze...
womens marathon
1.Bahrain
2.Kenya
3.USA
 
Wema asije anza kumnyapia nyapia jamaa tu akaishia kua km idriss! Ila hongeza zake sana,amewakilisha vyema!
 
Wema asije anza kumnyapia nyapia jamaa tu akaishia kua km idriss! Ila hongeza zake sana,amewakilisha vyema!
 
hehe mkenya amepoteza mafuta akapitwa na mkenya mwingine anayekimbilia Bahrain akienda tu kumaliza mbio....
mkenya kapata silver na mmarekani kapata bronze...
womens marathon
1.Bahrain
2.Kenya
3.USA
Huyo Chilumo kampita mwenzie utafikiri kafungua turbo!
 
Huyo Chilumo kampita mwenzie utafikiri kafungua turbo!
ata nimeshangazwa...unajua kule Bahrain wanaambiwa watapewa mamilioni ya pesa ndio maana umeona ametimua mbio hivo....kuna dada mkenya alitengeneza 500,000 dola za marekani kwa kushinda marathon...alikimbilia Bahrain...wale wana pesa nyingi tu za mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…