Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nilikuwa nafigure out idadi ya waandishi wa habari ambao wamekuwa maarufu sana Tanzania kuanzia miaka ya 90 mwanzoni nikagundua asilimia 80 ni wanatokea Arusha.Arusha ni mkombozi wa hii nchi katika kila nyanja
huyu wa mwisho Kawa_uchi mzembe sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anamaliza vizuri ila anachelewa 'to make a decision to go for it'Hongera Simbu.. Ila huyu jamaa naona kuna makosa fulani ya umaliziaji mbio atakuwa anayafanya..
Naamini uwezo wake ni zaidi ya hiyo nafasi ya tatu.. Hata kwenye olympic angeweza kuja na medali.
Afanyie kazi udhaifu wa kumalizia mbio..
Sent using Jamii Forums mobile app
Whatever is excellent.Haha, cha kushangaza eti ni wa 1992. Na mkenya kirui ni wa 1993.
Ila huyu wa kwetu source zingine zinadai ni wa 1985. Sasa sijui which is which?
Acha habari za ukanda we boya.... Mbona hamujampa bendera ya kaskazini akaenda nayo....Kuna siku nilikuwa nafigure out idadi ya waandishi wa habari ambao wamekuwa maarufu sana Tanzania kuanzia miaka ya 90 mwanzoni nikagundua asilimia 80 ni wanatokea Arusha.
Mamiss nao wengi wanatokea Arusha na Kilimanjaro...hata miss Tanzania wa sasa. Walikuwepo Nancy sumari, Hoyce Temu, na hata Miss Tanzania wa kwanza kabisa wa miaka ya 60 pia ni wa kaskazini.
WanaHiphop mashuhuri pia wanatokea Arusha.
Ukija kwa Wanariadha...wengi asili yao ni Manyara (zamani ilikuwa Arusha) lakini bado ipo kaskazini kwa sasa. Mfano mzuri ni: John Yuda, Shahanga, Philbert Bayi na hata huyu wa leo hii.
Mungu aliipendelea kaskazini.
Yes, kikubwa jamaa katuwakilisha vizuri tumsifu kwa hilo umri ni masuala ya ziada.Whatever is excellent.
Unataka kutukanwa...eeh?Acha habari za ukanda we boya.... Mbona hamujampa bendera ya kaskazini akaenda nayo....
Huyo Chilumo kampita mwenzie utafikiri kafungua turbo!hehe mkenya amepoteza mafuta akapitwa na mkenya mwingine anayekimbilia Bahrain akienda tu kumaliza mbio....
mkenya kapata silver na mmarekani kapata bronze...
womens marathon
1.Bahrain
2.Kenya
3.USA
ata nimeshangazwa...unajua kule Bahrain wanaambiwa watapewa mamilioni ya pesa ndio maana umeona ametimua mbio hivo....kuna dada mkenya alitengeneza 500,000 dola za marekani kwa kushinda marathon...alikimbilia Bahrain...wale wana pesa nyingi tu za mafutaHuyo Chilumo kampita mwenzie utafikiri kafungua turbo!