Mtanzania Anarudishwa Bongo Kutoka Marekani. Ana USD 10,000 (23M Tshs) Tu. Mnampa Ushauri Aitumieje?

Na ndugu wengi huko State ila hAli Yao ngumu no investment at all, wanazidiwa na Hadi ma mangi wenye duka la kawaida
 

Hata kusafiri nasafiri vizuri tu. Jamaa yeye hajarudi tz tokea aondoke. Ukiwa hauna makaratasi hata kusafiri hauwezi.
 
Na ndugu wengi huko State ila hAli Yao ngumu no investment at all, wanazidiwa na Hadi ma mangi wenye duka la kawaida
USA hela ipo.. ila maisha waTz wanaishi kwa kushindana kwa hio wananunua mavitu ya gharama kwa kuonesheana. Mimi wala sina muda na wabongo wa huku. Nilishaona tunaleta ujinga wa tanzania tunakuja nao huku USA.
 
Wakati yupo huko kuna uwekezaji wowote alishawahi kuufatilia bongo hata kama hajafanya?
Aliweza kujenga nyumba nzuri tu. Kwa hio at least nyumba anayo. Ila ipo kijijini na huko hakuna $$.
 
USA hela ipo.. ila maisha waTz wanaishi kwa kushindana kwa hio wananunua mavitu ya gharama kwa kuonesheana. Mimi wala sina muda na wabongo wa huku. Nilishaona tunaleta ujinga wa tanzania tunaluja nao huku USA.
Hatushindani na mtu watu huwekeza for future use
 
Sasa hapo atafanyaje ana majanga huyu
At least anajirudisha mwenyewe. Ukirudishwa kwa mamlaka hauondoki hata na wallet yako. Kwa hio kuna uzuri flani.. ila kweli atapata shida. Alikuwa mtu wa bata ila kabadilika sana. Naamini ataweza tu. Asanteni wote kwa ushauri mzuri 🙏🙏
 
Ww itakuwe umeishi nje ya Tz. Well said brother. Umechanganua vizuri sana. Need say no more.

Kweli brother.

Kuna watu wanaishi mbele,wanasema sina mpango na bongo ila ukiwaona unaona kabisa akili zao ziko bongo.

Kuna wale wamejiwekea akilini mwao kwamba udayasporani ni pakupita njia, naishi ila ipo siku nitajikuta nipo bongo.

Kuna wale wanaoishi kwa malengo sana baada ya muda fulani nitakuwa bongo, [emoji23][emoji23]hawa wanasahau hata kuishi maisha ya kule ni wachumi sana.

Sasa hawa wakirudi nyumbani kwa namna yoyote hawewezi kuwa sawa hata saikolojia ya kiakili.
 
24m ni mtaji mkubwa kama ana akili ya kijasiriamali. Kuhusu atafanya nini inategemea na yeye mwenyewe. Aje atulie asome mchezo atajua aanzie wapi.
Ushauri mzuri sana,23m ni hela nzuri kama ukituliza kichwa...
 

Mkuu naomba idea ya non risk business
 
Atataka kuishi sehem gani hapa Tanzania?

namshauri kwanza achukue milioni 5 tu aangalie upepo wa biashara.

asizamishe mtaji wote.

Akitaka employee wa kwanza kama operations manager, nipo hapa.

Itapendeza sana kama tutaanzisha biashara ya importation kama mifuko hii ya magufuli kutoka Kenya. Sisi tutauza kwa JUMLA.

milioni 5 ni nyingi sana.
 
Haaaaa Haaaaa 😂 nisamehe mpenzi tafadhali, nikeikumbuka sana hiyo post.
Tuachane na ya nyuma tafadhali tugange yajayo
 

Hahahahahahaaa!!! Namjua
 
Mrejesho???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…