Pre GE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ungeilaumu Kenya kwa nini haijatoa tamko.

Unatafutaje hela uliyoweka mfuko wa shati.
 
Usiseme tunakufa sema nakufa , walinzi wanajilinda wenyewe
 

In the Name of the President (Kabendera, 2025)
 

Maza siku hizi amehamia Twitter pia....!!?
 
Unataka serikali hii-entertain ujinga na kuwapa kiki watu wa hovyo.

Ni jukumu la serikali ya Kenya ku-establish ya kuwa, serikali ya Tanzania inahusika.

Vinginevyo ni ujinga tu wa Maria na wafuasi wake.
 
Unataka serikali itoe neno hata kwa mtu aliyejiteka?
 
Mama Abdul, aka Samia Suluhu Hassan, aka Kifo ni kifo ndiye mhusika mkuu wa utekaji na mauaji. Unataka aseme nini ndugu tena, dhamira inamshitaki....Amezoea kuteka na kuua.
 
Hivi Tz kuna serikali ama kikundi cha wahuni kinachotafuna hela za wananchi?!
Kwa taarifa huyo mama hata hiyo ikulu hakai, anakaa muda mwingi Kizimkazi, hilo mbona kila mtu anajua. Hiyo ikulu yupo Abdul, Rajabu ambaye ni kama makamu wa rais (ana elimu ya form IV) ndiye wanayepanga kila kitu....kuteka, kuua na kuhakikisha hakuna anayemsema Samia vibaya, wanatumia pesa za watanzania vibaya jinsi wanavyotaka. Mawaziri wengi hawapendezwi wanaongelea pembeni, wengine kama wa fedha wameona wapige tu pesa.
 
 
Yaani apoteze muda wake kuizungumzia hii movie iliyobuma?!!! Watu mna masihara kweli kweli. Kama kucheza movie hata yeye mama Samia amecheza, inaitwa The Royal Tour sijui maria aliwahi kusema chochote kuhusu movie hiyo? Kama hakuwahi basi ni kwa vipi ye aseme kuhusu yake?!!
 
"Asiyekuumba kukuumbua hawezi" haya maneno yaliwahi kusemwa na the late Dr Mwene Malecela (r.i.p) baada ya kuundiwa zengwe na kashfa zisizoeleweka na mkubwa flani hivi. Nayarudia Leo hapa kuwaalert nyie haters wa mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, kuwa hamuwezi kamwe kushindana na kudra za Mungu.......aliyeamua kumpa na kumstiri itabaki hivyo tu hata mfanye nini. Mnajiumiza wenyewe Bure na michuki yenu hiyo.
 
Wako serious na biashara yao
 
Wao wanafikiria uchaguzi wa 2025 kupitia kile kinachoendelea katika CDM hasa kinyang'anyiro cha nafasi ya M/Taifa.
 

Attachments

  • IMG_20250114_034437.jpg
    42.4 KB · Views: 2
Huyo mtanzania anaisaidia nini nchi kukuza pato la taifa🤔🤔🤔🤔😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…