TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

CHANZO: INASIKITISHA SANA AISE View attachment 2634119

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Kama katokea Magomeni Dar kwa asilimia kubwa huwa ni unga, maeneo ya Sinza, Manyanya, Mikocheni Yani Kinondoni kwa ujumla huwa ni Wazee wa short cuts success.

Vijana wenye 20 - 24 yrs tayari wanamiliki Land Rover Discovery 3 no D, ukichunguza kwa kina unakuta ni inshu ya unga, ujambazi au ushoga.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uhalisia ingawa kuna watu watakupinga sanaa, 2018 kuna mtoto wa mama angu mkubwa yule dogo alishajikatia tamaa bongo (std seven leaver), hataki kazi, hataki hata kujiendeleza kwa shughuli ndogo ndogo, akili na kila kitu chake kinawaza kuingia “Deben” (Durban).

Mentality ya kuzamia ineshamuingia, by that time watoto wengi na mabro wa mtaani kwetu TMK wapo bondeni wanahustle, ikabidi tumpambanie dogo apate anachokitaka. Finally akafanikiwa kuingia kiwanja, alivyofika kule akajionea kwa macho yake maisha ya ndugu zetu mtaani, dogo akalast miezi tu akaomba atumiwe nauli arudi.

Hali inatisha sanaa, vijana wanauza roho, bongo wengine wameshaharibu (either waliondoka kwa misala au kuharibu home kwa kigezo cha kuzamia) kurudi nyuma wanaona sio kweli na ile mentality ya kuonekana failure wanaona bora wakaze tu.

Ushauri, ndugu na jamaa zangu, kwa SA hali ilivyo sasa kama hauna issue ya kueleweka au mtu (host) wa kukupokea na kukupa miongozo ya muhimu, achaa kabisa hizo ndoto, SA kumeharibika sanaa. Mbongo “last number” ameshaharibu sana kwa deals za uporaji, drugs n.k na hapendwi kabisa.
 
UK yenyewe haipiti siku 2 watu,vijana wanapigana visu tena UK mauaji ya visu it'd worse

Ova
USA kila kukicha maniga yanapigana risasi za moto hovyo hovyo, tatizo vyombo vyao vya habari hutangaza mauaji ya Africa pekee kwa njaa, vita n.k wakiaminisha dunia kuwa kwao ni amani tupu kumbe ni kinyume kabisa ingawa kiuchumi wako njema.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Duh nilitaka nitafute million mbili nikaanzie maisha sasa kwa maelezo haya ya kutisha hivi Acha nikomae home tu Yesu Ni Mwema

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 

Toyota discovery????????
 
Duh nilitaka nitafute million mbili nikaanzie maisha sasa kwa maelezo haya ya kutisha hivi Acha nikomae home tu Yesu Ni Mwema

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Nah man, sipo hapa kukukatisha au kumkatisha mtu yoyote tamaa, the truth must be told, ndicho tunachokifanya, kukupa black and white.
Mimi mwenyewe ni hustler na mtafuta riziki, popote kambi 😂. Unaweza kurefer baadhi ya thread zangu huko nyuma kuhusu kuingia kiwanja.


Ila kabla hujafanya move yoyote linapokuja swala la kutafuta green pastures kuna mambo ya kuconsider zile pigo za miaka ya 90’s kujilipua bila kucalculate risk kwangu mimi naona ni ujuha.

Mimi swala la kuingia viwanja vya afrika let’s say SA, namibia, botswana nilikataa nikasema nitatafuta namna yoyote niforce niingie Europe/America kwanza, hata kama nitachelewa lakini vema kuanzia huko, and YES 2019 i made it to Germany 🇩🇪.

Turudi kwenye comment yako bro, ivi kweli 2M unaamini unaenda kufanya nini SA mkuu? 😬
 
Toyota discovery????????
Bongo balaa, 2019-2021 nilikuwa nipo sana mitaa ya Manyanya kikazi, nilishuhudia Vijana rika hilo wakimiliki Land Rover Discovery 3, Land Cruiser Prado nyeusi hadi nikawa najiuliza mi nimekuja duniani kusindikiza Watu tu wale bata nikiwa nang'aa ng'aa sharubu au sijui namna ya kutafuta chapaa?

Nilipojikita kusogea karibu na nyuki ili nile asali, niliishia kunyanyua mikono juu [emoji119]

Duniani kuna Watu hawaogopi kufa ilimradi tu watoboe mapema, tena wanakwambia kabisa kuna haja gani kuishi hadi miaka 60, 70 kwa mateso ukiwa hujui utapata lini faranga ilihali connections zipo tele kikubwa ni kuwa tu Jasiri? [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Very bad,ila Kwa kuangalia lugha ya picha Jamaa kama alikuwa nunda hivi.
Very bad,ila Kwa kuangalia lugha ya picha Jamaa kama alikuwa nunda hivi.
 

Mkuu hakuna toyota discovery kuna Land rover Discovery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…