Midas Touch
Senior Member
- Jan 23, 2008
- 188
- 200
Poleni sana wafiwa, Poleni sana Watanzania popote mlipo, Poleni sana Tanzania Diaspora wa USA. sote tunyayue sauti kulaani kitendo hiki.
USA wanajulikana kwa ubaguzi wao kwa watu weusi, huyu Mtanzania mwenzetu na yeye yamemkumba? Au kauliwa na mweusi mwenzake?
The Georgia Bureau of Investigation has identified a man who was shot and killed Wednesday afternoon after struggling for an Atlanta police officer's gun at a restaurant in Buckhead.
The shooting happened around 2:45 p.m. at the Lenox Village business complex, located in the 2700 block of Lenox Road.
Soma zaidi: https://www.fox5atlanta.com/news/gb...over-atlanta-officers-gun-buckhead-restaurant
Habari inajieleza yenyewe lakini haijakamilika kwa kina, sema mtangazaji anaongea Kiswahili kibovu, hana sauti yenye haiba ya utangazaji. Mwenye maelezo zaidi atie nyama.
Poleni tena wafiwa
Huyu dogo anaonekata kukitafuta kifo chake baada ya kuiga mambo ya vijana wa Kimarekani. Kafanya "TIZI" na kupata kifua cha kuku basi akaanza mambo ya ubabe wa hapa na pale hadi kufikia kutaka kupokonya bunduki ya polisi, polisi naye kwa sheria ya kwao ambapo hata hapa kwetu ipo akawa hatarini na akatumia silaha ya moto kwa mtu anayehatarisha usalama. RIP dogo wa Ki-ishomile.