Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

Sawa aliwahi kutoka. Unajua shida taasisi nyingi za serikali haziruhusu watu kukua.
Aliwahi kutoka kwa sababu labda alikuwa kwenye kitengo ambacho huwezi kula kwa urefu wa kamba.Kwenye taasisi za serikali watu wanajali zaidi kula kwa urefu wa kamba kuliko cheo.
 
Hongera Lecturer wangu
 
Super
P
 
Unaweza kushare nasi source ya hii habari kuhusu mshahara
Ni mkubwa lakini hauwezi kufika kiwango hicho. UN zote mishahara haipishani sana. Kama ndugulile tu milioni 700 ni wa mwaka ije iwe huyu kwa mwezi? Huo ni mshahara wa mwaka mzima angalia kiambatanisho hapo.
 
Attachments

Nawaza tu Mwigulu atavyomdumbua.....arudi bongo wampe jimbo awe NW Fedha.......naionahiyo.......eti uzalendo lhaaa muda utasema
 
Kama kweli mshahara mi miasita nampa hongera kwake.Hizi ndiyo ajira Sasa na siyo zile za kujipendekeza Kwa kizimkazi ili uteuliwe kuwa muabudu kizimkazi

Hiyo position hupewi bila endorsement ya nchi na mkuu wa nchi yako. SSH ana influence kubwa nje.
 
Nawaza tu Mwigulu atavyomdumbua.....arudi bongo wampe jimbo awe NW Fedha.......naionahiyo.......eti uzalendo lhaaa muda utasema

Muwe mnafuatilia kwanza Kabla ya kuropoka. Mwigulu alikuwepo kwenye uchaguzi wa huyu bwana, hiyo position hupewi bila endorsement ya nchi na mkuu wa nchi yako.
 
Muwe mnafuatilia kwanza Kabla ya kuropoka. Mwigulu alikuwepo kwenye uchaguzi wa huyu bwana, hiyo position hupewi bila endorsement ya nchi na mkuu wa nchi yako.
Muda tu.....utamuona bungeni.....mengine mbwembwe tu...mimi siko huko kwenye endorsement.....niko kwenye soasa za bongo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…