Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Unafikiri anatumia mshahara wa mwalimu kwenye kuishi?Kweli Mr Zarau.. mshahara kwa mwezi ni mil 650.. mshahara nwezi mmoja tu unafungua kiwanda Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri anatumia mshahara wa mwalimu kwenye kuishi?Kweli Mr Zarau.. mshahara kwa mwezi ni mil 650.. mshahara nwezi mmoja tu unafungua kiwanda Tanzania
Wengi ukimbilia hoteli, shule/ vyuo, usafirishaji, na apartment; kiwanda ni swala lingineKweli Mr Zarau.. mshahara kwa mwezi ni mil 650.. mshahara nwezi mmoja tu unafungua kiwanda Tanzania
Aliwahi kutoka kwa sababu labda alikuwa kwenye kitengo ambacho huwezi kula kwa urefu wa kamba.Kwenye taasisi za serikali watu wanajali zaidi kula kwa urefu wa kamba kuliko cheo.Sawa aliwahi kutoka. Unajua shida taasisi nyingi za serikali haziruhusu watu kukua.
Kuna mpuuzi mmoja kachafua nyota yangu akatembea nayo halafu yupo huko anafanya mambo ya ksng tu badala ya kuisaidia dunia.Ilikuwaje mkuu
Hongera Lecturer wanguWatanzania tupende kufanya kazi taasisi na kampuni za kimataifa badala ya kutwa kuwinda vyeo vya kisiasa
Huyo mwanaume kushoto pichani ndie Zarau Kibwe
![]()
Cv yake kabla ya uteuzi iko vizuri
Alternate Executive Director: EDS14
Executive Directors
Mr. Zarau Wendeline Kibwe, a Tanzanian national, currently serves as the Alternate Executive Director for Africa Group I Constituency (Botswana, Burundi, Eritrea, Eswatini, Ethiopia, The Gambia, Kenya, Lesotho, Liberia, Malawi, Mozambique, Namibia, Rwanda, Seychelles, Sierra Leone, Somalia, South Sudan, Sudan, Tanzania, Uganda, Zambia, Zimbabwe) at the World Bank Group, Washington, D.C. since November 2022. He also served the same Constituency Office as an Advisor and Senior Advisor for over five years since 2017.
Prior to joining the Constituency Office, Mr. Kibwe served as the World Bank Country Economist for Tanzania. Over the last 15 years of his career, Mr. Kibwe has held various positions in the President’s Office—Planning Commission (now part of Tanzania’s Ministry of Finance and Planning), Tanzania Revenue Authority and various Higher Learning Institutions in his country.
Mr. Kibwe holds a Ph.D. in Development Economics, an MA in Development Economics, and a Master of Public Policy, all from the National Graduate Institute for Policy Studies (GRIPS) in Tokyo, Japan, and a BSc in Economics from Mzumbe University in Morogoro, Tanzania. His research interest is mainly in development macroeconomics.
SuperWatanzania tupende kufanya kazi taasisi na kampuni za kimataifa badala ya kutwa kuwinda vyeo vya kisiasa

Ni mkubwa lakini hauwezi kufika kiwango hicho. UN zote mishahara haipishani sana. Kama ndugulile tu milioni 700 ni wa mwaka ije iwe huyu kwa mwezi? Huo ni mshahara wa mwaka mzima angalia kiambatanisho hapo.Unaweza kushare nasi source ya hii habari kuhusu mshahara
Dr Kigoda......Edwin Mtei.
..Peter Ngumbulu.
..Dr.Zarau Kibwe.
Kama kweli mshahara mi miasita nampa hongera kwake.Hizi ndiyo ajira Sasa na siyo zile za kujipendekeza Kwa kizimkazi ili uteuliwe kuwa muabudu kizimkazi
Nawaza tu Mwigulu atavyomdumbua.....arudi bongo wampe jimbo awe NW Fedha.......naionahiyo.......eti uzalendo lhaaa muda utasema
Kweli Mr Zarau.. mshahara kwa mwezi ni mil 650.. mshahara nwezi mmoja tu unafungua kiwanda Tanzania
Muda tu.....utamuona bungeni.....mengine mbwembwe tu...mimi siko huko kwenye endorsement.....niko kwenye soasa za bongo......Muwe mnafuatilia kwanza Kabla ya kuropoka. Mwigulu alikuwepo kwenye uchaguzi wa huyu bwana, hiyo position hupewi bila endorsement ya nchi na mkuu wa nchi yako.
Zarau????Huyo hapo mwanaume pichani kushoto ndie Zarau Kibwe
![]()
Jamaa katupangaNi mkubwa lakini hauwezi kufika kiwango hicho. UN zote mishahara haipishani sana. Kama ndugulile tu milioni 700 ni wa mwaka ije iwe huyu kwa mwezi?
Ndio jina lake anaitwa Zarau wale mnaosema majina mabaya yana nuksi kazi kwenu .Zarau huyooo kawa Mkurugenzi benki ya dunia Wenye majina ya mwanzo mazuri ya Billionaire, Tajiri,Mbarikiwa,Favour, Victory nk mpooooo? Tieni neno hapaZarau????