Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Wakulungwa wasingeniroga hivi ndo vilikuwa vyeo vyangu hivi
SSH yeye anaidhinisha tu.siyo kwamba yeye ndiyo amemtafutia hukoHiyo position hupewi bila endorsement ya nchi na mkuu wa nchi yako. SSH ana influence kubwa nje.
Kajiongelea tu huyo hawezi kulipwa mshahara huoUnaweza kushare nasi source ya hii habari kuhusu mshahara
Ni mawazo kama haya ya kipotofu ya 'kula kwa urefu wa kamba' ndiyo yatatufanya tuendelee kuwashangilia wenzetu wanapopiga hatua za maendeleo. Nafasi na vyeo vingi serikalini vinatakiwa kuwa competitive ili watu kama huyu ndugu yetu wenye maono ya mbali na elimu kubwa waweze kushika nafasi strategic. Mfano sioni sababu kwanini kuna wakuu wa mikoa na wilaya wakuteuliwa tu na Rais! Ma RAS na ma DED wanatosha kuwa executives lakini wawe wamepatikana kwa ushindani. Mawaziri, wakuu wa taasisi mbali mbali, hawa wote wanatakiwa kuzipata hizo nafasi thru competition ili mwenye kuweza zaidi ndio awe kiongozi. Hawa wote wangekuwa wanatekeleza vision ya Taifa kwa mikakati madhubuti, siyo ya kichama.Aliwahi kutoka kwa sababu labda alikuwa kwenye kitengo ambacho huwezi kula kwa urefu wa kamba.Kwenye taasisi za serikali watu wanajali zaidi kula kwa urefu wa kamba kuliko cheo.
Dr Kigoda....
Prof Ndulu
......
Endelea.....ambayo ni.........Mtei, Ngumbulu, Dr.Kibwe.
..kuna sababu ya mimi kuwataja hao watatu.
Endelea.....ambayo ni.......
SSH yeye anaidhinisha tu.siyo kwamba yeye ndiyo amemtafutia huko
Uchawa umejaa hapa!!!amesema kuwa hayo ni matokeo ya juhudi za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hii imekaaje????Ndio jina lake anaitwa Zarau wale mnaosema majina mabaya yana nuksi kazi kwenu .Zarau huyooo kawa Mkurugenzi benki ya dunia Wenye majina ya mwanzo mazuri ya Billionaire, Tajiri,Mbarikiwa,Favour, Victory nk mpooooo? Tieni neno hapa
..ajenda za muhimu kama zipi?Hongera zake.
Kuna pongezi cobtroversial za kisiasa za Samia, lakini pia, kidiplomasia, mtu kupewa hizi nafasi ni kura ya imani kwenye uongozi wa serikali yake kutoka nchi nyingine, kwa hivyo serikali ya Tanzania inayoongozwa na rais Samia ina pongezi zake nayo.
Kuna diplomasia fulani ya nchi inahusika kupata hizi nafasi. Nchi ikipwaya kwenye diplomasia hizi, raia wake kupata nafasi hizi inakuwa ngumu.
Jana kuna mtu alikuwa anasema World Bank kuna Watanzania wengi, naona anakuwa vindicated.
Nchi ikipata watu wengi kama hawa kwenye kazi za UN, tukiwa na uongozi mzuri, tunaweza kuongeza ushawishi katika ajenda za muhimu.
🤣🤣🤣🤣🤣Hii imekaaje????
Maana huwa tunaambiwa mtoto usimpe jina baya mfano tabu/shida/masumbuko/mafuriko/pombe magufuli/wasira etc.
Sana kuna wengine zinawaka mpaka zinatoa moshiDiplomasia ya Rais Samia imewatoa wafuatao
Dk.Wende ,WB Director Africa
Dk Ndungulile WHO Director Africa
Dk.Tulia President IPU
My Take: Ukiambatana na SSH nyota Yako itawaka.
50m kwa mwezi uhakikaKajiongelea tu huyo hawezi kulipwa mshahara huo
Watu wenye uwezo na maono hawatakiwi kwenye mfumo wa ajira nchi hii ndio maana kuna kuteuliwa tena kwa kujuana.Ni mawazo kama haya ya kipotofu ya 'kula kwa urefu wa kamba' ndiyo yatatufanya tuendelee kuwashangilia wenzetu wanapopiga hatua za maendeleo. Nafasi na vyeo vingi serikalini vinatakiwa kuwa competitive ili watu kama huyu ndugu yetu wenye maono ya mbali na elimu kubwa waweze kushika nafasi strategic. Mfano sioni sababu kwanini kuna wakuu wa mikoa na wilaya wakuteuliwa tu na Rais! Ma RAS na ma DED wanatosha kuwa executives lakini wawe wamepatikana kwa ushindani. Mawaziri, wakuu wa taasisi mbali mbali, hawa wote wanatakiwa kuzipata hizo nafasi thru competition ili mwenye kuweza zaidi ndio awe kiongozi. Hawa wote wangekuwa wanatekeleza vision ya Taifa kwa mikakati madhubuti, siyo ya kichama.