Kweli Mtanzania ni Gazeti Uchwara ! Habari hii si ilishafungwa humu zaidi ya miezi mitatu iliyopita ?
Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. Underline this.
Nimegundua katika watu wenye akili pevu sana katika nchi hii ni pamoja na Dr. Silaa!.Nisoma kwa makini hoja aliyopelekewa na jinsi alivyoijibu; kwa hakika CHADEMA bado ina hazina kubwa.Dk. Slaa alipoulizwa na MTANZANIA Jumatano kuhusu madai hayo, alisema hilo ni kosa la jinai, ambalo kama anatuhumiwa kulifanya anapaswa kushtakiwa kwenye vyombo vya dola badala ya tarifa hizo kupelekwa katika vyombo vya habari.
Usipende kutumiwa na watu, lakini aliyekutuma anajua amekutuma kwa sababu gani. Sasa nitakujibu, hivi suala la kuua si ni jinai? Sasa suala la jinai linapelekwa kwenye vyombo vya dola au kwenye vyombo vya habari? Huyo aliyesema yuko Chadema au yuko wapi? Aliyesema hakwenda polisi? Aliyetaka kuuawa hakwenda pia? Sasa ninyi media mmekuwa nani?
Wa kumuuliza suala hili ni Saanane mwenyewe au Shonza, wangekuwa na nia njema wangekwenda polisi au Zitto mwenyewe angekwenda polisi kushitaki kwa kutaka kuuawa, alisema Dk. Slaa.
Nishahisi kwa nini Kibanda kafanyiwa umafia.
1. "Walimuiba" Tanzania Daima kwa hela nono.
2. Alipokuwa Mtanzania, Gazeti hilo lilibadilika ghafla likawa linaandika habari ambazo ni "sumu" kwa CCM na serikali.
3. Haikuchukua muda wamemmafia na sasa habari kama hizi za masalia zinapewa coverage.
4. Zitto stuka, kwa nini CCM waonekane wanakupenda kwa kiwango hicho ilhali wewe ni mpinzani??
Unaacha kujadili habari, una jadili mmiliki wa Gazeti, makumando bhanaHivi hili gazeti si ndo la yule msomali Bashe?
chadema imekua kama ccm sasa
ni full perepete
Kwa mliousikia ule mkanda "bonafide genuine", mkiusikiliza kwa makini the motive behind, mtaconnect the dots kwa
equation ya if x=y, and y=z, then x=z!. Hii inamaanisha kwa vile mlengwa (the motive behind" ule mpango wa sumu ya panya ni z kwa kutumia x ila kutokana na z kuwa ni mtu wa meditation hivyo yuko on very high state of alert, 24/7, mpango huo wa sumu ya panya ulishindikana!, na ndipo sasa ukabiniwa ule mpango wa "bonafide genuine" ili kutimiza the same motive kwa kumuadabisha y ili kumkomoa z!.
That being the case, please get prepared and don't get surprised if very soon things will start to unfold kuhusu the role of y kwenye "bonafide genuine", na hili likithibitishwa kuwa "bonafide genuine" is the truth!, then "sumu ya panya will also be the truth hata kama hakuna yoyote aliyeshitaki popote!.
Ikithibitika "bonafide genuine" was just a dupe, then sumu ya panya itakuwa ni part and parcel ya siasa za maji taka!, na 2015 tutampangisha jamaa yetu pale magogoni!.
Angalizo: Naomba msiniulize chochote kuhusu hii theory kwa sababu kesi iko mahakamani, tusiingilie uhuru wa mahakama kwa "contempt of the court", hizi kelele na harakati nyingi za chini chini, ni kutapatapa tuu kwa "the guilt are always afraid" just kutafuta "alibi!".
Pasco.
By Zitto![]()
![]()
Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya jamii.
Ninaomba ndugu Ben Saanane aje hapa jukwaani kuthibitisha maelezo haya ya Bwana Mamuya kutoka Arusha. Mimi binafsi nikikutana na Ben Saanane leo naweza kupishana naye maana sijawi kumwona, wala kukutana naye. Ndugu Ben Saanane nimewasiliana naye kwenye simu mara mbili au tatu kuhusu masuala yake ya kitaaluma au pale alipohisi kuonewa ndani ya chama. Sijawahi kukutana naye hata siku moja. Kama nasema uwongo yeye binafsi aje hapa kukanusha.