Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

Status
Not open for further replies.
so outdated, ni kama Mwananchi walivyotoka na elimu feki ya N/Waziri Mulugo

waandishi wakikosa headline hutafuta kwenye historia pa kuuza gazeti

wanasugua kwenye kidonda cha Lwakatare na aliyosema Mch. Mtikila.WHAT A PLAN!
 
Tukiwaambia kwamba waandishi wa habari ni makanjanja pamoja na wahariri wao huwa mnabisha.

Sasa ona hawa wameokota habari ya mwaka jana hapa jukwaani kama ilivyo, na kuifanya ni habari mpyaa ya kuweka front page.

Tasnia ya Habari imejaa makanjanja na wachumia tumbo. Huo ndio ukweli.

Yaani miandishi ya habari ya Tanzania kwa sasa inashinda JF kutafuta habari za kuandika kwenye magazeti,
lakini walivyo makanjanja hawaandiki source kuwa ni JF.kwa mitindo hii mtang'olewa meno sana ili waendelee
kutafuta kusingizia CDM na Dr Slaa.
 
Mbona Zitto ameshatamka kuwa hawajakutana na Ben. Tena alitamka hapa hapa JF?

Kama Shonza yuko sahihi ina maana Zitto muongo?

Naomba Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wajitokeze hapa watuambie nani muongo.

quote_icon.png
By Zitto

Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya jamii.

Ninaomba ndugu Ben Saanane aje hapa jukwaani kuthibitisha maelezo haya ya Bwana Mamuya kutoka Arusha. Mimi binafsi nikikutana na Ben Saanane leo naweza kupishana naye maana sijawi kumwona, wala kukutana naye. Ndugu Ben Saanane nimewasiliana naye kwenye simu mara mbili au tatu kuhusu masuala yake ya kitaaluma au pale alipohisi kuonewa ndani ya chama. Sijawahi kukutana naye hata siku moja. Kama nasema uwongo yeye binafsi aje hapa kukanusha.
 
Last edited by a moderator:
Aise Juliana Shonza na kundi lake mbona mnahangaika sana? Zitto mwenyewe katika uzi aliouchimbua Safari_ni-Safari amesema fika kuwa hawajawahi hata kukutana na na Ben Saananane ila tu wameongea kwa simu. Leo hii the so called Juliana Shonza anasema " Anamtaja mtu aliyetumwa kumuua Zitto kuwa ni Ben Saanane, ambaye aliangusha karatasi ya nailoni iliyokuwa na ungaunga unaosadikiwa kuwa sumu na kuonekana kwa watu waliokuwa eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe pamoja na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Bavicha, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba" Hivi nyine mamluki mtakuwa mnaendelea kutumika hadi lini? Kama kweli Zitto alikuwepo akashuhudia ni kwa nini hakwenda mahakamani? Na hao akina Shonza na Mtela ni kwa nini hawakwenda mahakamani kama wanampenda Zitto? Watanzania wana akili za kufikiria na kupambanua mambo na si wale wa miaka ya 47!!!?? Mambo kama haya na magazeti ya udaku na ya kifisadi kama Mtanzani ni bora waende kwao hao Wahariri wakahadithie uchafu huu kwa watoto wao wa shule za vidudu!!! wale bado ni yes dad and mom maana wanajua mama na baba ni final katika kusema hata kama ni uongo wa kutunga!! Subiri nitakuletea pipi mtoto mzuri eeeeeh!!! Khaa not in this anymore when it comes to Polics in Tanzania!!!! Watanzania hatudanganyiki ng'oooooo!!! Mnaiogopa CDM kama ugonjwa wa ebola!!! Ha ha ha!! You better use technical issues to technically kill CDM but not planned rumours, lies, you name all.
 
.. CHADEMA hamko makini. Hamjajibu kashfa nyingi mnazotupiwa.

..nafaham kwamba siasa ni mchezo wa propaganda lakini hamna kurejesba imani kwa wapiga kura wenu.

Sasa nyi endeleeni kumshambulia juliana shonza kitaarabu mitandaoni badala ya kutufuata wapiga kura wenu huku vijijini m clear sintofaham,kupotea kwa imani kwa wananch juu yenu..

Mwerevu aelewe.. Waimba taarabu endeleeni..

2015 is very close.
 
Nimegundua katika watu wenye akili pevu sana katika nchi hii ni pamoja na Dr. Silaa!.Nisoma kwa makini hoja aliyopelekewa na jinsi alivyoijibu; kwa hakika CHADEMA bado ina hazina kubwa.
Mkuu wangu, hakuna majibu yaliyojitosheleza kama hayo. Mtu unagundua njama za mauaji na badalanya kuripoti unasubiri ufukuzwe kwenye chama kisha uende gazetini au mtandaoni kuripoti,ajabu sana hiyo.
Hii ndio style ileile ya Mwigulu eti una video ya mipango ya mauaji na wewe kama kiongozi badala ya kuipeleka Polisi wewe unaizungumzia kwenye mikutano ya hadhara au midahalo redioni. Ni upuuzi mkubwa.
Ila hata hapa JF bado tunao upuuzi kama wa hao, tumesoma majibu ya Dr Slaa na bado watu wanaijadili hoja ya Gazeti kama hoja hai wakati majibu yale yameifanya kuwa mfu.
 
Ukisoma vizuri saana, utagundua kuwa Mhishimiwa Silaa anataka kutetea nafasi yake ya kugombea uraisi, wakati "dogo" naye anataka kugombea hapo hapo ......kila mtu ana watu wake wanao muunga mkono sasa creativity zao zimeishia kwenye kutishiana maisha......! ndio drama zinaendelea mpaka kuteka waandishi wa habari na kuwapa kisago

CCM naiogopa...... CDM nayo pia yanipa mashaka.... sasa kura yangu itaenda wapi jameni
 
.. Chadema hamko makini. Hamjajibu kashfa nyingi mnazotupiwa.

..nafaham kwamba siasa ni mchezo wa propaganda lakini hamna kurejesba imani kwa wapiga kura wenu.

Sasa nyi endeleeni kumshambulia juliana shonza kitaarabu mitandaoni badala ya kutufuata wapiga kura wenu huku vijijini m clear sintofaham,kupotea kwa imani kwa wananch juu yenu..

Mwerevu aelewe.. Waimba taarabu endeleeni..

2015 is very close.
Huu ni uongo wa wazi.

Mbona Zitto ameshatamka kuwa hawajakutana na Ben. Tena alitamka hapa hapa JF?

Kama Shonza yuko sahihi ina maana Zitto muongo?

quote_icon.png
By Zitto

Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya jamii.

Ninaomba ndugu Ben Saanane aje hapa jukwaani kuthibitisha maelezo haya ya Bwana Mamuya kutoka Arusha. Mimi binafsi nikikutana na Ben Saanane leo naweza kupishana naye maana sijawi kumwona, wala kukutana naye. Ndugu Ben Saanane nimewasiliana naye kwenye simu mara mbili au tatu kuhusu masuala yake ya kitaaluma au pale alipohisi kuonewa ndani ya chama. Sijawahi kukutana naye hata siku moja. Kama nasema uwongo yeye binafsi aje hapa kukanusha.
 
*Yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu hotelini
*Mwenyewe akanusha, asema ni siasa chafu

“Usipende kutumiwa na watu, lakini aliyekutuma anajua amekutuma kwa sababu gani. Sasa nitakujibu, hivi suala la kuua si ni jinai? Sasa suala la jinai linapelekwa kwenye vyombo vya dola au kwenye vyombo vya habari? Huyo aliyesema yuko CHADEMA au yuko wapi? Aliyesema hakwenda polisi? Aliyetaka kuuawa hakwenda pia? Sasa ninyi media mmekuwa nani?

“Wa kumuuliza suala hili ni Saanane mwenyewe au Shonza, wangekuwa na nia njema wangekwenda polisi au Zitto mwenyewe angekwenda polisi kushitaki kwa kutaka kuuawa,” alisema Dk. Slaa.
Asante
 
Yaani miandishi ya habari ya Tanzania kwa sasa inashinda JF kutafuta habari za kuandika kwenye magazeti,
lakini walivyo makanjanja hawaandiki source kuwa ni JF.kwa mitindo hii mtang'olewa meno sana ili waendelee
kutafuta kusingizia CDM na Dr Slaa.
Mkuu REMSA, yaani kweli hata si waandishi tu, hata editors ina maana hakuna investigative editors/journalism!! Wanakaa tu maofisini wanasubiri udaku!! Ni kwa nin wasing'olewe kucha na meno bila gazi? Tatizo la editors wengi nao wamekuwa wanasiana maana wamenunuliwa na makundi ya kisiasa na matokeo yake ili kumalizana kimakundi basi wana wa downsize kupitia the roots!! You know how media is powerful interms of reputation and image building which can also ruin it in a minute!!! Sasa waandishi na editors wenu kwa nini msitumie nguvu ya kutaka habari za kweli? Hivi mnafahamu kuwa hata Dr. Slaa anaweza kuwa sue na mkamlipa fidia? Unajua maana ya kuua taswira ya mtu fidia yake ni kiasi gani? Ni kwa vile tu Dr. Slaa ni mstaarabu na anajua tu wametumwa hao. Dr. Slaa do not worry, many Tanzanians ambao wana uchungu na nchi hii wako nyuma yako.
 
SIASA MAJITAKA: wa kwanza kushtakiwa ni watoa taarifa waliokaa na ushahidi mzito mwaka mzima. Kuutoa ushahidi baada ya kumwagwa nao ni uchawi na ushetani tosha! Kova ingia kazini kamata SHONZA KAMATA MWAMPAMBA washtakiwe mahakamani. mawakili wa CDM ingieni kazi kuwamaliza hawa *&^m&bwa!!
 
habari kanjanja wamekosa cha kuandika, haya mambo yashongelewa, kweli ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno.
 
Aisee inamantiki hii. Kubanda kalazwa na hivi ndio mtanzania ilivyo sasa.
Pia hili swala la CCM na wasaliti kumshabikia Zitto bado nalitafakar lina maana gana. Na mbona Zitto anaonekana kukubali tu promo ya CCM ambayo kimsingi inaleta mgawanyiko chaman..????mnafiki akikusifia kinafiki si unatakiwa kumlipua?

Mnakumbuka mlivyomchambua huyo kibanda alipoandika makala ya kumsifia kinana? Mkiwa wanafiki msiwe wasahaulifu.
 
Mtanzania liko mbioni kufungiwa. Ni gazeti la uchochezi. Ila naweza nisiwe sahihi kwa kuwa uchochezi huu ni wa kukichafua cdm, sio ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom