Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

Status
Not open for further replies.
Chadema ,chama cha mauaji, uchunguz ufanywe upya ukweli ujulikane. Mwiigulu ameriport mara kadhaa. Sasa haya wanataka kuu mpaka naibu km wao
 
Mi nataka kujua hicho kipakiti cha sumu walimrudishia huyo Ben au bado wanacho?.
Kama hizi tuhuma ni uongo ,huyo ben anasubiri nini kuwafungulia mashitaka ya false accusation,defamation hao akina mwapamba,?
 
Revolutioneries don't talk about
deaths. Only cowards do
Zzk.
 
Mkuu Ben Saanane wameanza huku.....nakumbuka hili

Kwenye hii makala ili kotiwa na bwana Safari ni safari naona Mtela Mwampamba ame like, siajelewa kwanini ame like, nijuavyo, Mtela na Juliana ni marafiki sana tu, kuna uzi uliisha bandikwa humu ukisema hayo hayo yaliyo ripotiwa na gazeti la Mtanzania, mwandishi au mleta uzi alikua Juliana Shoza, kipenzi cha Mtela (inawezekana wanaitana Kaka na dada), issue yangu ipo hapa, Utetezi wa Zitto Kabwe hapo juu anasema, wala hawafahamiani na Ben Saanane zaidi ya kuongea kwa kupitia simu, kundi la Mtela, Juliana na Gazeti linasema Ben alitaka kumwekea sumu Zitto wakiwa Hotelini Mabibo, sasa sijui yupi mwongo hapa, Juliana/Mtela au Zitto, cause Zitto anasema hawafahamiani kwa sura zaidi ya kupigiana simu and then walikua pamoja wakila/wakinywa, hilo moja, la pili ni hili, hivi mtu umetumwa kwenda kuua mtu kwa sumu, muuaji anaweza kunywa Pombe hadi kujisahau kweli?

Mbona nahisi kama haiwezekani hivi, vinginevyo hizi nazo zitakua ni tuhuma za kutungwa tu na kikundi fulani, halafu siwezi kushangaa Juliana/Mtela na gazeti la Mtanzania kuzungumzia issue moja, kwani mmiliki wa Gazeti hili si ni Rostam Aziz, huyu amewahi kutuhumiwa na Gazeti la Mwahalisi kua hua wanafanya mazungumzo na Zitto Kabwe mara nyingi, hii habari imekaa kiudaku ziadi, ni ya kuipuuza!
 
Dr. Slaa ni mtu wa vitimbi sana.

Yaani yeye ndio kinara wa kupanda majukwaani kuwashutumu watu kwa makosa ya jinai, lakini inapokuwa yeye ndio mshutumiwa anakumbuka kuwa makosa ya jinai yanatakiwa kushtakiwa kwenye vyombo vya dola na si kwenye majukwaa ya siasa na vyombo vya habari kama vile anavyofanya yeye kila siku!!! Angekuwa analitambua hili kwa vitendo, tungekuwa mbali sana...
 
Kuna jambo moja najiuliza nalo ni kwanini mwandishi wa habari hii hakumuhoji Zitto swala hili!

Kama ni swala la kuwa JKT zitto ameshamaliza mafunzo,sasa kwanini Zitto hajatafutwa kwani kama angemtafuta hata kwa simu lazima angeripoti kwenye habari hii kuwa Zitto alitafutwa ila hakupatikana au vinginevyo.

Ni wazi hakufanya jitihada ya kumtafuta mh.Zitto.

Je,ni kwa madhumuni gani?

Zitto kashasema hatabaki hata panya. Sasa ahojiwe nini tena?
 
Nadhan ccm wapo mochwari wakisubiri kaburi likamilike
kuchimbwa ili wazikwe kabisa na tuhitimishe matanga 2015
ili sisi wapenda nchi CDM tushike hatamu bila bughudha
maana wamezidi kutapatapa!!!!!

 
Mheshimiwa Dr. Slaa, mbona unaowatuhumu majukwaani kwa mambo mbalimbali hujawapeleka polisi au mahakamani?

Unapotuhumiwa wewe ndio unajua kuna polisi na mahakama? Mkuki kwa Nguruwe lakini kwa binadamu uchungu!
 
Hahahaha Masalia+Zitto at work, habari ilisha expire!!

Ila to be honest nina wasiwasi na ZZK alivyosutwa humu ndani lazima alipize kisasi kujisafisha? pengine kama ni kweli alikuwa na mipango ile "michafu" na masalia bado iko pale pale? kama ni kweli Hawezi kuwasaliti masalia anawalea kwa sasa, anasubiri zamu yake atimuke? kitu atafanya ni kuiua CDM akiwa ndani ya CDM then aondoke CDM?

Kama hana maslahi ya chama kingine au kuchafua CDM, ninaamini masalia wasinge fikia huku kote, angeweza kuwaonya na wakamsikiliza...Juliana Shonza aliwahi kusema katika CDM anayemsikiliza ni Zitto peke yake na pia aliingia kwenye siasa kwa kuvutiwa na siasa za Zitto.

ZZK, usiache magazeti na radio wajadili masuala nyeti kuhusu wewe....toa tamko khs shutuma hizo, ikibidi uwakanye wanaokuchafua kisiasa hadharani.

Wananchi wanataka kukusikia, ukinyamaza unawafanya waamini kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Ukisoma vizuri saana, utagundua kuwa Mhishimiwa Silaa anataka kutetea nafasi yake ya kugombea uraisi, wakati "dogo" naye anataka kugombea hapo hapo ......kila mtu ana watu wake wanao muunga mkono sasa creativity zao zimeishia kwenye kutishiana maisha......! ndio drama zinaendelea mpaka kuteka waandishi wa habari na kuwapa kisagoCCM naiogopa...... CDM nayo pia yanipa mashaka.... sasa kura yangu itaenda wapi jameni
ZITO KABWE na Urais..........KWANI KATIBA INASEMAJE JUU YA UMRI? AU TAYARI IMESHABADILIKA....
 
Kwa mliousikia ule mkanda "bonafide genuine", mkiusikiliza kwa makini the motive behind, mtaconnect the dots kwa
equation ya if x=y, and y=z, then x=z!. Hii inamaanisha kwa vile mlengwa (the motive behind" ule mpango wa sumu ya panya ni z kwa kutumia x ila kutokana na z kuwa ni mtu wa meditation hivyo yuko on very high state of alert, 24/7, mpango huo wa sumu ya panya ulishindikana!, na ndipo sasa ukabiniwa ule mpango wa "bonafide genuine" ili kutimiza the same motive kwa kumuadabisha y ili kumkomoa z!.

That being the case, please get prepared and don't get surprised if very soon things will start to unfold kuhusu the role of y kwenye "bonafide genuine", na hili likithibitishwa kuwa "bonafide genuine" is the truth!, then "sumu ya panya will also be the truth hata kama hakuna yoyote aliyeshitaki popote!.

Ikithibitika "bonafide genuine" was just a dupe, then sumu ya panya itakuwa ni part and parcel ya siasa za maji taka!, na 2015 tutampangisha jamaa yetu pale magogoni!.

Angalizo: Naomba msiniulize chochote kuhusu hii theory kwa sababu kesi iko mahakamani, tusiingilie uhuru wa mahakama kwa "contempt of the court", hizi kelele na harakati nyingi za chini chini, ni kutapatapa tuu kwa "the guilt are always afraid" just kutafuta "alibi!".

Pasco.

Unazungumza vitu gani Pasco?umekuwaje siku hizi mkuu?
 
Dr. Slaa ni mtu wa vitimbi sana.

Yaani yeye ndio kinara wa kupanda majukwaani kuwashutumu watu kwa makosa ya jinai, lakini inapokuwa yeye ndio mshutumiwa anakumbuka kuwa makosa ya jinai yanatakiwa kushtakiwa kwenye vyombo vya dola na si kwenye majukwaa ya siasa na vyombo vya habari kama vile anavyofanya yeye kila siku!!! Angekuwa analitambua hili kwa vitendo, tungekuwa mbali sana...
hii ndio kauli ya viongozi wote wa dini na waliowahi kuwa...''DO AS I SAY,DONT DO AS I DO.''
 
Huu ni uongo wa wazi.

Mbona Zitto ameshatamka kuwa hawajakutana na Ben. Tena alitamka hapa hapa JF?

Kama Shonza yuko sahihi ina maana Zitto muongo?
Njia ya mwongo fupi!. Yote yale yalikuwa ni mbio tuu za sakafuni, kwa yanayoendelea sasa, ni mwelekeo wa ukingoni!. Soon wote mtazijua mbichi na mbivu!.
P
 
Baba wa masalia zitto alikiri hajawahi kukutana na ben saa nane sasa huko lunch time walikutana wakiwa kwenye ndoto?
 
Huyo Shonza adil na Habari za kina Mwigulu na sio CDM huku kashafukuzwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom