Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

Status
Not open for further replies.
Huu upuuzi na ujinga wa kina Shonza (shenzi) na Mtela (Stella) walishautoa kule facebook na ukakosa mashiko naona gazeti la Rostam chini ya kijana wake mwaminifu Hussein Bashe wanaanzisha upya kwa kutaka kuhadaa umma ambao hawana access ya mitandao hii na uwezo wao mdogo wa kuchambua wanaweza shabikia huu ujinga wao.
 
Aisee inamantiki hii. Kubanda kalazwa na hivi ndio mtanzania ilivyo sasa.
Pia hili swala la CCM na wasaliti kumshabikia Zitto bado nalitafakar lina maana gana. Na mbona Zitto anaonekana kukubali tu promo ya CCM ambayo kimsingi inaleta mgawanyiko chaman..????mnafiki akikusifia kinafiki si unatakiwa kumlipua?

Hapo sasa ndo ujue UNAFIKI wa Zitto upo wapi.
 
Last edited by a moderator:
Hizi single zilishachuja, wao wanazilete tena!
 
Sasa sijui nani tumwamini.

If Zitto was telling the truth, does that mean Ben Saanane was lying alipokuja na statement hii,
and if ben was telling the truth about him meeting zito,does that mean juliana is telling the truth?
 
Jamani zitto yuko online na kaanzisha uzi anatoa ufafanuzi wa habari hii.Mfuatilieni kwenye uzi wake ili ajulikane nani mnafiki kwenye sakata hili la kuwachonganisha wana chadema.
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe zinasigana sana. Mwandishi wa makala si mweledi, kwa sababu Slaa kakanusha, Ben kakanusha na bado mwandishi anachapisha habari hiyo ya udaku. Zitto mwenyewe amekanusha mara kadhaa habari hii. Huu ni upum.bavu uliopitiliza wa mwandishi!
 
And if now zito is saying he never met ben,does that make ben a liar,and juliana story fake?
If so,WHY DID BEN ,lie about him meeting zito?.
And why JULIAN lied that ,zito was there at the hotel the day ben was planning to poison him?.
 
Na Bado, hiyo Dhambi yao ya kuzusha Uongo dhidi ya CHADEMA itawamaliza woote.
Imeanza Kumtafuna Bosi wa Kibanda, just Mark my words, Mungu yupo
 
Chadema ni genge la mafia; ukipishana nao kimtazamo wanakumaliza; ZITO chunga sana; yasije yakatokea ya Chacha Wangwe
 
Watanzania tumeshauzoea uongo na umbea wa CCM na misukule yake, hatudanganyiki.
 
Haya sasa....Akili za Kanjanja chamganyeni na Mchuzi wa nazi.
  1. Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 58m
    Siwezi kukaa kimya nionapo uwongo unasemwa hata kama uwongo huo ulilenga, labda kunisaidia. UWONGO ni UWONGO tu.

    Expand
  2. Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 59m
    Pia sijawahi kufika na wala siijui Hotel ya Lunch Time Mabibo. Ninaomba Mtanzania wathibitishe na vyanzo vyao habari hiyo

    Expand
  3. Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 1h
    Mtanzania leo imeandika habari 'Siri ya kuuwawa Zitto yafichuka'. Habari hii sio ya kweli. Sijawahi kukutana na Ben Saanane hata siku moja
 
Chadema ni genge la mafia; ukipishana nao kimtazamo wanakumaliza; ZITO chunga sana; yasije yakatokea ya Chacha Wangwe
Mfuate Twitter ukamwambie hayo....yeye kasema hivi.....

  1. Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 58m
    Siwezi kukaa kimya nionapo uwongo unasemwa hata kama uwongo huo ulilenga, labda kunisaidia. UWONGO ni UWONGO tu.

    Expand
  2. Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 59m
    Pia sijawahi kufika na wala siijui Hotel ya Lunch Time Mabibo. Ninaomba Mtanzania wathibitishe na vyanzo vyao habari hiyo

    Expand
  3. Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 1h
    Mtanzania leo imeandika habari 'Siri ya kuuwawa Zitto yafichuka'. Habari hii sio ya kweli. Sijawahi kukutana na Ben Saanane hata siku moja
 
Waacheni waendelee kutumika kama condom lakini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha..!
 
Sasa sijui nani tumwamini.

If Zitto was telling the truth, does that mean Ben Saanane was lying alipokuja na statement hii,
Zitto amejitokeza kwenye twitter na kujibu uongo huo.

Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe 2h Mtanzania leo imeandika habari 'Siri ya kuuwawa Zitto yafichuka'. Habari hii sio ya kweli. Sijawahi kukutana na Ben Saanane hata siku moja 3:09 AM - 27 Mär 13 ·


Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe 2h Pia sijawahi kufika na wala siijui Hotel ya Lunch Time Mabibo. Ninaomba Mtanzania wathibitishe na vyanzo vyao habari hiyo 3:11 AM - 27 Mär 13 ·

Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe 2h Siamini kabisa kwamba Katibu Mkuu CHADEMA anaweza panga kuniuwa mie. Hana sababu kufanya hivyo. 3:12 AM - 27 Mär 13 ·


Dots Dots, Absolutely
Ng´wamapalala uwe mwangalifu, Mwampamba na Shonza na uongo wao mnaoushabikia utaichafua CCM!

Wameanza kusutwa peupe!

Na hatutakuwa na sababu ya kuwaamini kwa mengine.
 
1)gazeti linaloendeshwa kwa hisia za watu wa jf ni hatari sana
2)wanampa upopularity Ben wa saanane
 
Huu upuuzi na ujinga wa kina Shonza (shenzi) na Mtela (Stella) walishautoa kule facebook na ukakosa mashiko naona gazeti la Rostam chini ya kijana wake mwaminifu Hussein Bashe wanaanzisha upya kwa kutaka kuhadaa umma ambao hawana access ya mitandao hii na uwezo wao mdogo wa kuchambua wanaweza shabikia huu ujinga wao.
Mkuu, MaCCM bana, kila yakimbana Bashe issue ya Uraia wake, anachanganyikiwa, Mtanzania lilishupalia san aissue ya Kibanda, wakamuomba athibitishe uraia wake. kaacha kuandika tena issue za Kibanda

Leo naona kaamua kutoka na issue ya Chadema ili maCCM yasimfuatilie...
 
Mimi kwa mtazamo wangu na kwanini naona nyie ni wapumbavu msio na ukweli hata elimu zenu ni za kishenzi hivi Jamii Forum ni Polisi? Wewe unao ushahidi kwamba fulani anataka kumuua mtu fulani unashindwa nini kuripoti Polisi kama na wewe si mmojawapo wa huo mpangp?

Acheni propaganda za kipumbavu unao ushahidi nenda polisi kuja kuripoti polisi ni kuonyesha jinsi gani wanaojiita wasomi wetu walivyo wapumbavu na kwa akili ndogo anayo issue badala ya kuipeleka kunakohitajika anakuja kuiweka jamii forum au utube ni ujinga au kwa kuwa polisi nao kilichoko jf au utube ni kweli MUMEISHIWA

MTAKALIA MAJUNGU TU
 
Chadema ni genge la mafia; ukipishana nao kimtazamo wanakumaliza; ZITO chunga sana; yasije yakatokea ya Chacha Wangwe

Watu wengine bwana akili za ajabu sana mnaesema kataka kuuawa kakana kutaka kuuawa bado mnangangania kataka kuuawa hivi nyie ndie mlihusika na mpango huo?

Mbona vinganganizi hivyo wanaouawa na ccm mbona hamuwasemi? Au matamu kusema ya wenzenu yenu mumeyakalia matakoni?

Wanaume wazima utafikiria mabinti umbea tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom