Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,302
Kwanini hili gazeti lisiconcentrate na habari za kuteswa kwa Mhariri Mkuu Kibanda? Kuna siri gani iliyojificha:frusty:?
INAVYOONEKANA DHAHIRI NIKUWA KUHAMA KWA ndugu KIBANDA, Free media na kwenda HABARI corp na hatimaye kuteswa na kuumizwa vibaya ni mpango wa CCM na serikali yake wakiwa na lengo la kuipaka matope CHADEMA.HUYU BWANA NAAMINI ALINUNULIWA KWA DAU KUBWA, INGAWA MWENYEWE NAAMINI HAKUWA AKIFAHAMU LENGO LA HAO WALIOMRUBUNI/WALIONUNUA.
Hata suala la ile video ni sehemu ya huu mpango, ila walikosea kuedit ili kuingiza jina la KIBANDA tu, ili hatimaye..........WOTE MNAFAHAMU!
Haya yaliyoandikwa na Mtanzania leo ndo yananishawishi kiasi kikubwa kuamini hivyo. Na ndio maana gazeti hilo(HABARI CORP KAWA UJUMLA) wala halijishughulishi kutafuta ukweli wa kile kilichomtokea Mhariri mtendaji wake, wala kufuatilia maendeleo ya uchunguzi unaofanywa na jeshi la polisi.
Kitu muhimu hapa ni kujitokeza kwa ZITTO mwenyewe kulithibitisha hili (hadharani), na pia Ben awashitaki hao wanaomchafua ili iwe fundisho kwao.
