DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwenyezimungu amuafu majanga yanayomkuta. Kwali maradhi ya akili ayasikie hivyohivyo, haswa ukiwa kwenye nchi za watu.

Hapo alipo inaonyesha gonjwa limeushakubuhu kabisa. Huwezi kuwalaumu Watanzania, kwa sababu kila mtu anahangaikia kibarua chake.

Bila kuwa na ndugu au jamaa wa dhati wa kumsaidia huyu binti, ndio basi tena.

US kama zilivyo nchi nyingine zilizoendelea, zinakuhitaji ukiwa mzima wa afya, vinginevyo unakuwa takataka.

Hongera mkuu kwa kujitolea kulileta hili jambo hapa Jamii Forums, yumkini msaada, japo wa mawazo ukapatina.
Hapana mkuu watu wamechangia kwa mahaba mda wa masaa 24 zikafika 10m
Kwanini tusiwe na ubinadamu wa kuchanga ili arudi nyumbani?
Niko tayari kwa msaada
 
Ubalozi wao kazi yao ni nini kama hawana msaada hata wa Ticketi ya kumrejesha ili apelekwe kwa Waganga?!
 
Unacheza wewe, mimi niligombana na dada yangu wa-tumbo moja halafu makaratasi yenyewe kupata ilikuwa kupitia kesi yake.

Halafu familia inaniambia niombe msamaha yaishe, I don’t roll like that if you are wrong bora ni bebe consequences za maamuzi yangu lakini uwezi nikosea halafu niombe msamaha kisa makaratasi na kwenye kesi yake akanitoa.

Huo mziki uliofuata naujua mimi tu nilitokaje hadi kupata makaratasi huyo Jane mkubwa mimi ndio kwanza nilikuwa early 20’s, maza nae ndio ghafla mauti (angekuwepo pangechimbika). Nina mifano na story nyingi sana zangu na washkaji zangu miaka hiyo ya changamoto zetu.

Ndio maana sijapenda alivyo mrekodi huyo dada at her worst, vulnerable, without friend and family support. That’s just humiliation.
Mkuu; Inabidi sasa tufike mahali tukubaliane kwamba tumeshindwa kukubaliana kwenye hoja hii.
 
Hii stori inawea kuwa ni ya kutunga, si halisi
Vinginevyo kana ni ya kweli, utakuwa unafanya makosa makubwa sana
Watu wa aina hii wapo wengi tu Marekani na si lazima wawe wametoka Tanzania. Wewe uanchotakiwa kufanya ni kupata details za familia yao huku Tanzania, ili Ubalozi watakapoingia kazini, wawe na uhakika kuwa mtu huyu kweli ni Mtanzania
Naamini Ubalozi wanayo pia register ya wanafunzi watanzania wanaosoma huko, na possibly kati ya walio kwenye orodha yao, huyo siyo mmoja wao

Wewe unatakiwa uwa-provie ubalozi kuwa huyu mtu kweli ni Mtanzania, halafu baada ya hapo ndiyo uweze kuwalaumu
Wewe kwa details zote ulizozitoa hapa, unashindwa nini kupata taarifa za kule alikotoka? Wenzake aliokuwa anasoma nao, je?
Isisje ikawa ulitamani tu kuweka picha za watu wakiwa nusu uchi humu kwa visingizio
Taarifa yako hii inaweza kuwa ni crap, inaweza ikawa ni ya kutunga
Sehemu iliyopaswa kuwa na ubongo kwenye kichwa chako imejaa kamasi.
 
Angekuwa mwanafunzi na ameenda kwa usaidizi wa serikali ingekuwa tayar ishafanyika namna ya kumsaidia na kumrudisha nyumbani.! Kwa hali aliyo nayo huyo huenda hakuwa mwanafunzi wa scholarship
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Msenge wewe, Kichaa ana Privacy?
 
Back
Top Bottom