DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Msenge wewe, Kichaa ana Privacy?
Unfortunately leo sina mood ya kutukana or confrontation za kijinga na mapoyoyo ndio maana hata huyo fala mwingine macho_mdiliko namu-ignore tu.

The good thing waziri wa mambo ya nje wa sasa kasoma huko na anajua changamoto zake yeye mwenyewe keshapiga sana night shift za lindo kwenye maofisi ya wazungu anafahamu sio kwa mzaha ukikosa support network.

As for me nimeshamaliza all I had to say, seuse huyo Jane kuna mtu (rafiki yangu) alikuwa jela U.K kaka yake afisa serikalini kwa sasa ambae amekaa sana Norway na US.

Kaka mtu aliposikia mdogo yupo jela kipindi yeye bado anaishi marekani akaenda kumtafuta U.K. arudishwe jamaa kutoka ugomvi na Kaka yake nani kakutuma uje kuwaambia wazungu wanirudishe.

Hayo ya matusi don’t have the appetite for that today zaidi ya kukushauri tafuta namna ya kutuliza kipira chako kama kinakuwasha.

👋
 
Unacheza wewe, mimi niligombana na dada yangu wa-tumbo moja halafu makaratasi yenyewe kupata ilikuwa kupitia kesi yake.

Halafu familia inaniambia niombe msamaha yaishe, I don’t roll like that if you are wrong bora ni bebe consequences za maamuzi yangu lakini uwezi nikosea halafu niombe msamaha kisa makaratasi na kwenye kesi yake akanitoa.

Huo mziki uliofuata naujua mimi tu nilitokaje hadi kupata makaratasi huyo Jane mkubwa mimi ndio kwanza nilikuwa early 20’s, maza nae ndio ghafla mauti (angekuwepo pangechimbika). Nina mifano na story nyingi sana zangu na washkaji zangu miaka hiyo ya changamoto zetu.

Ndio maana sijapenda alivyo mrekodi huyo dada at her worst, vulnerable, without friend and family support. That’s just humiliation.
Hujapenda wewe kama nani? Bora hata ungekuja na sababu za ridhaa, lakini siyo sababu hizo.
 
Unfortunately leo sina mood ya kutukana or confrontation za kijinga na mapoyoyo ndio maana hata huyo fala mwingine macho_mdiliko namu-ignore tu.

The good thing waziri wa mambo ya nje wa sasa kasoma huko na anajua changamoto zake yeye mwenyewe keshapiga sana night shift za lindo kwenye maofisi ya wazungu.

As for me nimeshamaliza all I had to say, seuse huyo Jane kuna mtu alikuwa jela kaka yake afisa serikalini amekaa sana Norway na US akaenda kumtafuta huko arudishwe jamaa kutoka ugomvi na Kaka yake nani kakutuma uje kuwaambia wazungu wanirudishe.

Hayo ya matusi don’t have the appetite for that zaidi ya kukushauri tafuta namna ya kutuliza kipira chako kama kinakuwasha.

👋
Safi japo sijui mlipo anzia ila nimependa ulivyojibu
 
Shit happens hizo nchi unakuta mtu hana makaratasi na hana marafiki au wanamtosa anaishia kuwa homeless and stressed.

Binafsi binamu yangu ni ‘on and off’ teja. Ugonjwa wake mkewe, mara mwisho mkewe kumtibua na jumba kubwa (home office) kuto renew makaratasi yake ya kusafiri (japo ana haki zingine) amekuwa teja na kibaka zaidi ya miaka 10 sasa anaishi mtaani. Ana ndugu zake wa tumbo moja na cousins kadhaa watu wamepigana kumsaidia mpaka wamechoka.

Kuna watu wanaanza kutumia madawa ya kulevya wanajiaribia maisha wenyewe.

Kuna watu hawana kazi au rent wanaishia kufukuzwa kwenye nyumba wanazoishi na hakuna wa kuwasaidia na kuna watu wana stress za papers.

Sababu ni luluki

Mwisho kabisa kwenye medical ethics kuna dhana ya right ‘uwezi kumpa mtu dawa au matibabu’ ambayo yeye hataki.

Alikadhalika kwa kanuni za Geneva convention on human right ‘kila mtu ana haki ya privacy and being treated with dignity’ uwezi kwenda kurekodi maisha ya mtu tena akiwa at her worst na kuitangazia dunia, wakati mwenyewe anamwambia hataki.

Jamaa kamkosea sana huyo dada
Mkuu nsenda kamsaidie wewe kwa kufuata Geneva convection
 
Mkuu nsenda kamsaidie wewe kwa kufuata Geneva convection
Shida ni limitations zenu hakuna sehemu nimesema asisaidiwe au kuletwa kwa habari ni kosa.

Tatizo ni narrative (presentation) sasa kama ukufundishwa how narrative can influence thinking, sina huo muda wa kueleweshana.

Ndio kama hii mada 90% ya wachangiaji wana amini huyo Jane ni chizi based on presentation ya mada alone.
 
Unfortunately leo sina mood ya kutukana or confrontation za kijinga na mapoyoyo ndio maana hata huyo fala mwingine macho_mdiliko namu-ignore tu.

The good thing waziri wa mambo ya nje wa sasa kasoma huko na anajua changamoto zake yeye mwenyewe keshapiga sana night shift za lindo kwenye maofisi ya wazungu anafahamu sio kwa mzaha ukikosa support network.

As for me nimeshamaliza all I had to say, seuse huyo Jane kuna mtu (rafiki yangu) alikuwa jela U.K kaka yake afisa serikalini kwa sasa ambae amekaa sana Norway na US.

Kaka mtu aliposikia mdogo yupo jela kipindi yeye bado anaishi marekani akaenda kumtafuta U.K. arudishwe jamaa kutoka ugomvi na Kaka yake nani kakutuma uje kuwaambia wazungu wanirudishe.

Hayo ya matusi don’t have the appetite for that today zaidi ya kukushauri tafuta namna ya kutuliza kipira chako kama kinakuwasha.

👋
Huoni haya kila mtu anakuona wewe ni zezeta?
 
Dah Jane cha upole..
Nina uhakika ndugu zake watakuepo humu JF na wanaona..
Labda mwenyewe hataki kurudi
Angekuwa anatokea kanda ya ziwa ndugu zake wangekuwa wameshajitokeza na kumchukua,watu wa kanda ya ziwa (hasa wasukuma) wanajali mno wenzao.

Sasa kwa akina sisi wa kutoka kanda ya kaskazini dada hana msaada, watu wa kaskazini ni wabinafsi sana,wachoyo wasiopenda kusaidiana.
 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.

Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya ya Akili, sijui nini kiliendelea baada ya hapo kati lakini kilichofuata amekuwa chizi na analala barabarani, amekuwa akifanyiwa ukatili wa kingono na Wanaume mara nyingi bila kuwa na msaada.

Nilienda Ubalozini mara kadha pia kuripoti ili ikiwezekana huyu Mtanzania asaidiwe lakini kinachoonekana wao (Ubalozi) ndio wanataka nianze kufanya kazi yao.

Wanataka kufuatilie na kujua details zaidi kuhusu huyo Mtanzania na mambo mengine kama hayo, mimi siwezi kuingilia hayo masuala ya wao, wenyewe ndio wataalam, mimi nikiwapa taarifa wanatakiwa kujua nini cha kufanya baada ya hapo.

Huyu mtanzania ninamfahamu kwa jina moja tu anaitwa Jane, mitaa ya Houston ndani ya Texas.

Maisha yake ni chini ya Daraja, amekuwa hivyohivyo akiishi chini ya Daraja.
View attachment 2995304
View attachment 2995860
Barua niliyowahi kuituma Ubalozini siku za nyuma​

Nilivyoanza kumjua
Kuna siku nikiwa na mke wangu kwenye bustani flani akasikia tunazungumza Kiswahili, akajumuika nasi na kuanza kuzungumza na kisha kujitambulisha.

Tukazungumza naye kwa Kiswahili na akajieleza naye anatoka Ukanda wa Kaskazini kama nilivyo mimi hapo nyumbani Tanzania.

Bahati mbaya nimesahau jina lake la pili na hata sas aukisema umuulie huwezi kupata jibu hilo.

Nimeshatoa picha zake mara kadhaa sehemu tofauti ili anayemjua iwe ni ndugu zake, jamaa au marafiki wamsaidie lakini sijafanikiwa katika hilo, ndio maana nimeona nitumie JamiiForums kufikisha ujumbe huu nadhani utawafikia wahusika na wanaweza kumsaidia.

Nipo tayari kuto ushirikiano kwa ambaye anaweza kuhitaji kumsaidia huyu au kama anawez kumtambua, nimewasilisha mawasiliano yangu kwa JamiiForums kwa mtu ambaye atahitaji kuwasiliana nami.


Tatizo la kuomba msaada bila detail. Yuko mji gani na jimbo gani hapa USA. Kuna Watanzani kila mahali ? Msije kuchangisha watu hapa pesa zikaishia mifukoni mwa watu wengine. Kuweni makini sana na michango michango ya kimchongo.
 
Back
Top Bottom