DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
System za ulaya na America mambo ya bills, loneliness, depression ukichanganya tena ndoa na gambe mbona kuwehuka ni dakika sifuri...[emoji1]
 
Previously you treated her like normal person with homeless problems
Then
She is a patient.... suffering from the hell??

Maza kanywa fanta, no mara waaa huyu binti arudi kwao
 
Hi nchi ni ya mimbulula yaani matutusa
Hawataweza kukuelewa, walisha kuwa molested na system ya kimasikini
Wameshazoea kuzodolewa na wanapenda kuzodoa watu katika kuingilia maisha binafsi ya watu yaani mambo umbea na kutaka kujua sana nani anafanya nini, katowa wapi hela au kaishiwa.

Hata hapa utawaona wengi wamekuja just kukanda maisha ya US hata kama kula na kulala yake ni ya kubabia, si unajua masikini akiona mtu ana matatizo anapata furaha ya kikorosho.

Huyu mleta mada naye ni buffoon , ameleta hii kwa sababu hizihizi za kimasikini na sio kumsaidia
 
huku nje si hua tunasikia free health care, hii inasikitisha na kwa hali hiyo hata wale watanzania wa afrika kusini wengi huwa wanalalamika kukosa ushirikiano kutoka kwa ubalozi, kiasi kwamba hujichanga na ubalozi huja kuchukua credits mwishoni kabisa baada ya mambo kuwa hatua za mwisho
 
Aisee
 
Wewe ni mpumbavu sana. Ndiyo maana utaozea hapo Bongo kwa sababu mawazo yako ni kijinga. Unaonea wivu mpaka vichaa kwa sababu tu alisafari nje ya nchi? Unataka kila mtu akae Tanzania una kazi za kuwapa? Idiot!
Mpumbavu ni Mama yako Mzazi na siyo Mimi.
 
Jinga Moja atakuwa ni Mama yako Mzazi na siyo Mimi.
Mpumbavu hujulikana kwa maneno na matendo anayotenda na siyo kwa kutukanwa! Wewe ndiyo umeonyesha upumbavu wako kwa kufurahia huyo mateso anayopata huyo mgonjwa kisa tu umekosa connection ya kusafiri kama yeye. Dunia ya leo imekuwa kama kijiji na binadamu wanakuwa encouraged kusafiri na kuishi nchi nyingine ili wajifunze vitu vipya wewe unakuja na ulimbukeni wa kufurahia janga linalompata binadamu mwenzako eti kwa sababu tu amekwenda nchi nyingine. Kama siyo wivu na roho ya kichawi ni nini. Umefungiwa hapo Bongo? Jitahidi na wewe utembee uone dunia na siyo kuwa na roho ya kichawi ya kutaka waliokuzidi waangamie. Hizi ni chuki na wivu uliopitiliza na inaonekana wewe unaishi kwenye maisha ya shida na yenye frustration sana. Watu walio nje ya nchi wakirudi kukaa Bongo ndiyo watamaliza shida zako?
 
Mpumbavu ni Mama yako Mzazi na siyo Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…