DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
yeah now you make a point, is true, maybe alisahau ku crop kiasi kwa face[emoji120]
 
Kulikuwa hakuna haja yakusema ukatili anaofanyiwa ,ukichaa ungesema

Kimambi ,anaripoti ya tanzania anamwacha jirani hapo kweli.... watafute ccm diaspora uone kama watatoa msaada

Wakishindwa,watafute chadema diaspora arudi tu tanzania

Pia,akirudi atafikia kwa mchungaji hananja hao ndowatu wake hamna namna
 
Eti msaada wa hela ambao hauhitaji!!!? Mgonjwa wa akili anajua anachohitaji? Jamaa kamtendea fadhili sana huyu dada.
 
I know her alivyoenda Marekani alimpandishia kioo Jamaa aliyemsaidia
Hamtaki tena Jamaa. Bila shaka Jamaa kamaliza game juu Kwa juu
Nipeni muda kidogo Nimtafute Jamaa Nikimpata nitaleta mrejesho
 
Akili nyingine, mungu ndiyo anajua!
 
Una tatizo kichwani wewe, si bure.
 
Mungu akubari mkuu kwa kuchukuwa jitihada zote hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…