Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Ndg. Patt, kwanza nikupe pole kwa comments chokozi(vexing comments) na zenye kejeli unazopokea kwenye hili dokezo ulilotoa hapo. Kwa kulitoa dokezo hili na likawekwa hapa ina maana sasa ni letu wote sio lako peke yako tena.Mwanzo nilikua najiuliza inawezekanaje mtu akachapwa vibao hadharani lakini Sasa Ndio napata majibu huyu dada kunasikunilimkuta na Hali ambayo haifai hata kuandika au kumuelezea mtu nadhani ningempiga picha siku hiyo navkumpost Ndio ingekua kumdhalilisha Ila nilijitahidi nikamtafutia namna ya kusitiri mimi nilichukua hiyo video na picha sioni tatizo lolote labda kosa langu nikutaka watanzania na ndugu wajue ukweli wa mwenzetu
Kwa mantiki hiyo comments zoote nzuri na mbaya ni zetu wote.
HAKUNA SABABU yoyote iwayo ya wewe kusikitika wala kujihesabia eti umefanya kosa. La hasha. Huku Jeiefu ndo kulivyo. Wapo wanoko, Walevi, vichwa bangi n.k. tunaenda nao sambamba.
Sisi tumeshawazoea na tuna-enjoy comments zao na nyuzi/mada zinapata uhai na kuchangamka.
Endelea na kutuletea Updates za huyo binti usiyumbishwe katika nia yako njema. Ibilisi yupo kuharibu na wala sio kujenga. Wanaotoa kejeli walikuwa wapi wasimsaidie huyo dada muda wote ila sasa wapo wameinuka kama wimbi eti unamdhalilisha. Shame upon them.