DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwanzo nilikua najiuliza inawezekanaje mtu akachapwa vibao hadharani lakini Sasa Ndio napata majibu huyu dada kunasikunilimkuta na Hali ambayo haifai hata kuandika au kumuelezea mtu nadhani ningempiga picha siku hiyo navkumpost Ndio ingekua kumdhalilisha Ila nilijitahidi nikamtafutia namna ya kusitiri mimi nilichukua hiyo video na picha sioni tatizo lolote labda kosa langu nikutaka watanzania na ndugu wajue ukweli wa mwenzetu
Ndg. Patt, kwanza nikupe pole kwa comments chokozi(vexing comments) na zenye kejeli unazopokea kwenye hili dokezo ulilotoa hapo. Kwa kulitoa dokezo hili na likawekwa hapa ina maana sasa ni letu wote sio lako peke yako tena.
Kwa mantiki hiyo comments zoote nzuri na mbaya ni zetu wote.
HAKUNA SABABU yoyote iwayo ya wewe kusikitika wala kujihesabia eti umefanya kosa. La hasha. Huku Jeiefu ndo kulivyo. Wapo wanoko, Walevi, vichwa bangi n.k. tunaenda nao sambamba.
Sisi tumeshawazoea na tuna-enjoy comments zao na nyuzi/mada zinapata uhai na kuchangamka.
Endelea na kutuletea Updates za huyo binti usiyumbishwe katika nia yako njema. Ibilisi yupo kuharibu na wala sio kujenga. Wanaotoa kejeli walikuwa wapi wasimsaidie huyo dada muda wote ila sasa wapo wameinuka kama wimbi eti unamdhalilisha. Shame upon them.
 
Maisha haya daa
Halafu balozi zetu huwa hazina msaada kabisa sijui kwanini

Kuna mataifa hata mtu wao akifungwa au kuhukumiwa kufa watamtoa.

Sasa masikini huyo tena mwanamke wanashindwa hata kumpeleka hospitali
Kama makada wa ccm wanaokotwa huko na kupewa ubalozi unategemea nini
Mtu kama polepole ana mastress yake yote unampa Ubalozi unategemea atasaidia watu kweli ni ngumu, sababu kapewa ubalozi kama adhabu nchi hii ina safari ndefu sana

Wengine wanapewa adhabu kama zawadi na sio kwa sababu wana-vigezo
 
Ni rahisi sana kwako kuja na hoja ya privacy, na kwenda mbali zaidi kwa kumuona anaonekana hana matatizo ya akili kwasababu humjui huyo dada wala hujaona maisha anayoishi

Tujitahidini sana kuangalia nia ya muhusika kufanya hivi kuliko kukimbilia kutafuta perfection
Angalia amefanya juhudi gani kabla hajaja kupost hapa JF
Inaonekana mleta hoja amefikia mahali sasa anaona ajaribu platforms nyingine kujaribu kusidia..... sio watu wote wana moyo huo mkuu
Mtu mwenye serious form ya matatizo ya akili (kama schizophrenia) au aina yoyote ambayo awezi fanya maamuzi sahihi yeye mwenyewe nchi za dunia ya kwanza astahili kuwa mtaani.

Kwa sababu ukidhuru mtu ata kwa kuuwa sheria zinamuachia na kupelekwa mental health unit tu kwa matibabu, sasa kwa usalama wa jamii utapelekwa mental health unit.

Huyo ni mzima sema jamaa ni condescending tu kwenye hiyo video anamchukulia mwenzake kama chizi ampe hela, japo dada wa watu anamwambia niache mbona unanisumbua.

Kibaya zaidi ana mrekodi halafu kuja kurusha humu na kumwita chizi.
 
Huyo sio katili nayeye ni mgonjwa wa akili angekua timamu asinge sema hivyo sio vichaa wote wsishio maporini wengine wako majumbani Kama huyo
Dah! Inasikitisha mno kuona kwamba yupo mtu anakerwa sana kwa sababu kuna mtu amejitoa mhanga kusaidia kuibadili hali mbaya ya binadamu mwenzake. Watu wa namna hii (Sadists) ni watu wa kuwaepuka.
 
Shida ni wewe una uhakika gani Kama hajapelekwa hospital ya vichaa hapa marekani? Pia tumia akili huyo ni mgonjwa wa akili unawezaje kuamini hata Kama angekutajia majina yote matatu? Dawa pekee ya kujua taarifa zake zake nikupitia wizara ya mambo ya nje kwa Tanzania na wizara ya mambo ya ndani kwa hapa marekani ngoja kidogo nikupeleke shule maana unafhani kuandika vingereza ndio kujua only finger print can tell about her kumuliza majina havita saidia kwanza inawezeka Hana ID hata moja hili swala nila kidipolomasia zaidi halihitaji akili dogo😂😂
 
Mtu mwenye serious form ya matatizo ya akili (kama schizophrenia) au aina yoyote ambayo awezi fanya maamuzi sahihi yeye mwenyewe nchi za dunia ya kwanza astahili kuwa mtaani.

Kwa sababu ukidhuru mtu ata kwa kuuwa sheria zinamuachia na kupelekwa mental health unit tu kwa matibabu, sasa kwa usalama wa jamii utapelekwa mental health unit.

Huyo ni mzima sema jamaa ni condescending tu kwenye hiyo video anamchukulia mwenzake kama chizi ampe hela, japo dada wa watu anamwambia niache mbona unanisumbua.

Kibaya zaidi ana mrekodi halafu kuja kurusha humu na kumwita chizi.
Wewe Mungu akusamehe
 
Dah! Inasikitisha mno kuona kwamba yupo mtu anakerwa sana kwa sababu kuna mtu amejitoa mhanga kusaidia kuibadili hali mbaya ya binadamu mwenzake. Watu wa namna hii (Sadists) ni watu wa kuwaepuka.
Labda hawa wanaoenda ulaya siku hizi zama zetu tuko wachache ilikuwa mambo yakienda mrama utatia akili, kulała park ishawakuta watu wengi sana au kukaa ghetto watu wanapishana vitanda kwa kufanya kazi day and night shifts.

Sasa hivi ukiwaona hao watu wanapiga picha na ma-Range na mijengo yao Africa. Huyo hana support ya watanzania wenzake tu huko halipo Iła sio chizi.

Mpaka leo kuna waafrica na wahamiaji kibao wanalala nje kisa hawana makaratasi na awana ndugu.

Hakuna ushahidi wa huyo dada kuwa chizi zaidi ya kufanyiwa humiliation tu na huyo jamaa.

Yes alipofikia kama aiwezekani ana sababu ya kuwataarifu ndugu zake Jane anataabika kama wana namna ya kumshauri harudi nyumbani ningeelewa, lakini sio kwenda ku-record watu whilst condescending them on your video unataka kuwapa hela halafu unakwenda kurusha video mitandaoni that’s just humiliating her tena bila ya ridhaa yake, mwenyewe anakwambia sitaki niache uelewi.

Very bad
 
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Mwenyewe nashangaa,ye ange bebana peleka ndani ogesha kula lala.
Kesho ndo mnaongea.
Huyo mwehu Mwenyewe hajielewi,mi ningeshampa mawe ya mgongo huyu mnoko akafie mbere
 
Shit happens hizo nchi unakuta mtu hana makaratasi na hana marafiki au wanamtosa anaishia kuwa homeless and stressed.

Binafsi binamu yangu ni ‘on and off’ teja. Ugonjwa wake mkewe, mara mwisho mkewe kumtibua na jumba kubwa (home office) kuto renew makaratasi yake ya kusafiri (japo ana haki zingine) amekuwa teja na kibaka zaidi ya miaka 10 sasa anaishi mtaani. Ana ndugu zake wa tumbo moja na cousins kadhaa watu wamepigana kumsaidia mpaka wamechoka.

Kuna watu wanaanza kutumia madawa ya kulevya wanajiaribia maisha wenyewe.

Kuna watu hawana kazi au rent wanaishia kufukuzwa kwenye nyumba wanazoishi na hakuna wa kuwasaidia na kuna watu wana stress za papers.

Sababu ni luluki

Mwisho kabisa kwenye medical ethics kuna dhana ya right ‘uwezi kumpa mtu dawa au matibabu’ ambayo yeye hataki.

Alikadhalika kwa kanuni za Geneva convention on human right ‘kila mtu ana haki ya privacy and being treated with dignity’ uwezi kwenda kurekodi maisha ya mtu tena akiwa at her worst na kuitangazia dunia, wakati mwenyewe anamwambia hataki.

Jamaa kamkosea sana huyo dada
Punguza ujuaji mzee , wewe unafkri bila kumchinja kuku utapata nyama ya kuku ?

Video na hizo picha zitasaidia ndugu na jamaa zake tuweze kumtambua ndugu yetu. na hata kama Kuna michango tutachanga huku tukiwa na uhakika wa hali halisi.
 
Vipi kwa nini usiripoti Polisi hapo wakatoa msaada?
Aisee! In US blacker life doesn't matter!
Maswali nayojiuliza anakula nini? Nani anayemletea chakula?
 
Punguza ujuaji mzee , wewe unafkri bila kumchinja kuku utapata nyama ya kuku ?

Video na hizo picha zitasaidia ndugu na jamaa zake tuweze kumtambua ndugu yetu. na hata kama Kuna michango tutachanga huku tukiwa na uhakika na hali halisi.
IMG_7398.jpeg


Changamoto za kukosa papers ulaya zinajulikana

You can’t record people at their worst, label them crazy and hide your obnoxiousness in the name of aiding .

Taarifa ingeweza letwa kiistarabu and humanely. bila ya kudhalilisha watu.
 
Hautakiwi kumlaumu huyo dada, kutoboa ulaya na marekani inahitaji willpower kubwa sana. Na sisi tumezoe communal life huku kila mtu anaishi kivyake. Ukifika huku na kuanza kufanikiwa mnalingana kipato na wazungu. Ukishafika level hii ni rahisi kujisahau, mimi bado sijafika level kubwa kama wenyeji wa ujerumani. Lakini nimeshuhudia mabosi wa kubwa wanavuta Unga, Bangi na ma vidonge kama xanax, adderal,MDMA n.k. Hao wanaotumia mihadarati ni maboss na wanalipwa kuliko mimi. Cha ajabu wana knowledge kubwa katika kufanya kazi kuliko mimi. Sasa kama nisingekuwa na will power ingekuwa rahisi mimi kujiingiza huku. Mimi naishia kupiga gambe. Hawa majamaa na sio wazungu tu kuna hadi waafrika ambao ni executives. Wakitumia mihadarati wanavyoisifia na kuelezea wanavyojisikia utadhani wapo mbinguni 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Ujerumani **** nyoko mimi nilivyoanza kazi nilishangaa HR anavuta fegi kama mpiga debe wa mbagala aisee. Huku ukitaka kutoboa kama hauna will power kuwa busy. Mpaka starehe yako ikuweke busy kama kusafiri au kuwa na ka -hobby fulani inasaidia sana.
 
Umejuaje ana matatizo ya akili?


Kama anadhani ana matatizo ya akili kwanini asipige simu ‘mental health unit’ wamchukue bure kwa matibabu aihitaji kudhalilishwa.

Hii ndio shida yetu watanzania mtu akianza na leading statement we automatically take that viewpoint as undisputed fact, wakati mleta mada hajui ata jina la ubini wa huyo dada wala background story yake zaidi ya kutengeneza narrative yake based on is own interpretation of her situation.
Hata mimi nilivokua MD2 kama wewe nilidhani nishakua daktari na najua kila kitu, huna hoja bro relax
 
Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.

Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.

Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.

Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.

Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.

Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Ila kwa kweli binadamu tuna mtizamo tofauti tofauti na ni ngumu mno kuwanganiisha watu nadhani hata viongozi Wana kazi mno kubwa ya kudili na watu.

Sasa wewe umeongea sawa Ila Sasa mwenzako ilo wazo lako ama akili yako hakuwa nayo at the heat of moment.
Sema yeye akafanya hivi ili Kama Kuna mtu atamfahamu awajulishe wahusika
 
Kuwa homeless ni mental issue tangu lini?

Mbona anaonekana anajitambua tu.

Wakumsaidia ni ndugu zake kama yeye awezi kumuweka kwake.

Vinginevyo angeweka picha yake na kuomba msaada kwa anaemjua amtafute anashida ya kuongea na ndugu zake bila ya kuweka narrative (which is pretty his interpretation of her situation) on what is going on with her life.

Uwezi kuvunja rights za mtu, invade her privacy and ignore her dignity; kisa unataka kumsaidia huo ni udhalilishaji.
Uko sahihi.
 
Hata mimi nilivokua MD2 kama wewe nilidhani nishakua daktari na najua kila kitu, huna hoja bro relax
Sasa MD2 na hoja yake vinaingilianaje..?
Kwanza mental issues zamani tulikuwa tunasoma MD4 wengine MD5 sijui kwa sasa. Anyways, kubali kutokukubaliana bila kuvunjiana heshima.
 
Mimi swali langu ni moja, is that the best help you could do to help her..??
Me naona hujamtendea sawa. You should have done better tbh.
 
Masikini dada wa watu isije kuwa watu wa kijijini kwao wamemroga.

Mungu amfanyie wepesi.
Hapo kunaweza kuwa kuna 1. kafeli, 2. kujilipia fedha imeshindikana, ndio zile nenda utapiga job na kujilipia, 3. 'sembe', na 4. stress zimemzidia. Kurogwa sidhani.
 
Back
Top Bottom