Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

Na bora uhamiaji waendelee kuwazui kutoka nje ya nchi vijana wengi waliozamia sauz kila siku wanakufa lakini wengi wapo huko miaka na miaka bado hawajulikani wanafanya nini
Ni kweli ulichosema mkuu ila pia hapa Tanzania nimeona taarifa mbili tatu za kushtukiza za kuuana kama yule dada alietekwa mpaka leo hatujapata taarifa na pia hapa hapa Tanzania tuliobaki wote hiyo miaka nenda miaka rudi tunajulikana tunachokifanya?
 
Niliwahi kutana na mtoto wa miaka 14 wa kutoka Canada kakatiwa nauli kaja Afrika alikua anaenda Japan na wazazi hawana hata hofu ana ramani ya kote anakotaka kwenda hao wakina Columbus wameacha watu...
Kabisa.
 
Mkuu nimeku PM
 
Akili za kishamba zinazochangiwa na kushiba chai na kiporo na kubwata matako kwenye kochi za shemeji yako dstv itakuponza usijisahau bado upo maramba mawili tu dogo amka usingizini
 
Ni kweli ulichosema mkuu ila pia hapa Tanzania nimeona taarifa mbili tatu za kushtukiza za kuuana kama yule dada alietekwa mpaka leo hatujapata taarifa na pia hapa hapa Tanzania tuliobaki wote hiyo miaka nenda miaka rudi tunajulikana tunachokifanya?
Kuna group lao mabaharia waliopo sauz huko facebook watanzania wanakufa sana RIP ni nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…