Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..

Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south Africa inawaka akawa anashangaa tu magorofa na mabarabara.

Kombe la dunia 2010 nchini South Africa loliwaacha wazungu midomo wazi,jiji kama Capw Town hata ulaya kuna majiji hayafikii uzuri wake

Kuna dada wakazi mmoja toka Iringa siku anaambiwa anaenda kufanya kazi Dar usiku hakulala.

Akapakizwa basi akashuka Magufuli stand then akapokelewa na mwenyeji wake mpaka Malamba mawili, baada ya miezi sita wakazinguana akarudi kijijini, ilikuwa ni kuponda jiji la Dar kuwa ni kubaya bora Iringa, kumbe hakuwahi kufika Kariakoo wala posta, Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Kigamboni, Msasani, Mikocheni, Mbweni nk.

Kuna watu wakiwa Dar wanajiona wajanja sana ila ni washamba.

South Africa ina vitu vya kushangaza, Europe na USA hali kadhalika.

Jambo ka kushangaza watanzania hatupendi kusafiri sijui kwa nini. Yaani ukienda nchi za watu utakuta wakenya na watu wa West Africa tu, watanzania ni wa kuhesabu. Hii inasababisha ushamba na uwezo mdogo wa kufikiri na ndio mtaji wa viongozi wetu ili watutawale.

Idara ya uhamiaji nayo ni kama imepewa maelekezo kunyima watu passport bila sababu za msingi.

Amin amin nawaambia bila kuusafiri nchi za wenzetu hatutobi. Akina Vasvo da Gama na Collumbus hawakuwa wajinga, Nyerere na Karume wakishasafiri kabla ya kuongoza nchi.

Nimeandika haya baada ya kukuta mzee mmoja huku Nzega hajawahi kufika Tabora mjini Tangu azaliwe halafu anakwambia Chama noma sijui CCM baba lao.

Kama hausafiri wewe ni mshamba,kusafiri ni elimu tosha
Mtoa mada. ni mshamba pia. Kwani, anaonyesha ushamba wake. Unaweza kufika kote huko ukabaki mshamba tu. Mbona hata huko kuna washamba. Nenda North Amerika utashangaa. Wengi wa unaokutana nao wanakwambia are you from Africa? Ukisema yes, but I am from Tanzania. Wanasema Tasmania? Jeez!
 
Na bora uhamiaji waendelee kuwazui kutoka nje ya nchi vijana wengi waliozamia sauz kila siku wanakufa lakini wengi wapo huko miaka na miaka bado hawajulikani wanafanya nini
Wengine ni matapeli kwa watanzania wenzao
 
Mkuu kwann umeitaja Nzega??[emoji2]
Tabora imekaa kushoto sana ya nzega. Watu wa nzega kuliko kwenda tabora mjini wanaona bora waende Mwanza.

Kuhusu kusafiri umesema kweli.
Kuna watu hadi wanazeeka hajasafiri hata mikoa mitano ya Tz.

Sasa kwenda nje ya nchi ndio hata hawajawaza kabisa.

Kusafiri ni kuielewa dunia ilivyo
 
Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..

Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south Africa inawaka akawa anashangaa tu magorofa na mabarabara.

Kombe la dunia 2010 nchini South Africa loliwaacha wazungu midomo wazi,jiji kama Capw Town hata ulaya kuna majiji hayafikii uzuri wake

Kuna dada wakazi mmoja toka Iringa siku anaambiwa anaenda kufanya kazi Dar usiku hakulala.

Akapakizwa basi akashuka Magufuli stand then akapokelewa na mwenyeji wake mpaka Malamba mawili, baada ya miezi sita wakazinguana akarudi kijijini, ilikuwa ni kuponda jiji la Dar kuwa ni kubaya bora Iringa, kumbe hakuwahi kufika Kariakoo wala posta, Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Kigamboni, Msasani, Mikocheni, Mbweni nk.

Kuna watu wakiwa Dar wanajiona wajanja sana ila ni washamba.

South Africa ina vitu vya kushangaza, Europe na USA hali kadhalika.

Jambo ka kushangaza watanzania hatupendi kusafiri sijui kwa nini. Yaani ukienda nchi za watu utakuta wakenya na watu wa West Africa tu, watanzania ni wa kuhesabu. Hii inasababisha ushamba na uwezo mdogo wa kufikiri na ndio mtaji wa viongozi wetu ili watutawale.

Idara ya uhamiaji nayo ni kama imepewa maelekezo kunyima watu passport bila sababu za msingi.

Amin amin nawaambia bila kuusafiri nchi za wenzetu hatutobi. Akina Vasvo da Gama na Collumbus hawakuwa wajinga, Nyerere na Karume wakishasafiri kabla ya kuongoza nchi.

Nimeandika haya baada ya kukuta mzee mmoja huku Nzega hajawahi kufika Tabora mjini Tangu azaliwe halafu anakwambia Chama noma sijui CCM baba lao.

Kama hausafiri wewe ni mshamba,kusafiri ni elimu tosha
Sisi tusio safiri tunawakilishwa na mzee wetu Mheshimiwa sana Vasco Da Gama, kipindi cha kati hapo ni kama alipunguza udagama wake ila sasa ndio anatuwakilisha sana kwa raha zake.
 
Watu waliposafiri kipindi cha ujana wetu walikuja na Ruba mtoni. Je umerudi na nini?
 
Sikubaliani na hilo? Unaweza ukafika kote uko na bado ukawa Mshamba na unaweza Ukapata knowledge ya all those places Google and YouTube na historia zake zote. Kusafiri ni gharama sana sana sana uko Ulaya au Marekani na changamoto za visa bora SA Hamna visa na bei nafuu. Ingawa nimefika SA cjafika Ulaya au Marekani nina jua a lot about those places including their history, languages they speak, economies and etc while watu wengi ambao wamefika could barely mention countries that border each other hata Km ni wazaliwa wa uko. So mtu ambaye anaishi US au Ulaya na hajui nchi nyingi za Africa bado namuona mshamba hata Km ana hela. Ushamba ni lack of knowledge Sema watanzania wengi wanapoteza bundle YouTube kucheki ujinga na Insta umbea ambao hauwasaidii hata kidogo except kutajirisha wapumbavu. So nakataa hoja.
We jamaa bana.
Watu wengi wa ulaya,North and south America hasa vijana (including waliopo mashuleni plus mavyuo) hawazijui hata nchi tano za africa

Yani Tanzania ndo yakizobaa zoba hata haifahamiki destination za ndege tu za kuhesabika.
Sisi ndio tuna shobo na historia zao walizoziweka ancestors wao
 
Sawa bodaboda naona unajibu mapigo ila babu Yako mamako babako pia washambaaaaaa
 
Unamaanisha Nini unaposema Europe and USA,umetembea Ulaya nzima na USA yote yenye States 50? South Africa kwa vijana wa nyanda za juu kusini ni kama kuja DAR tu, [emoji1787][emoji1787],Blantire, Lilongwe, Lusaka mpaka Bulawayo, still is Africa, Hakuna Jipya.
There is no push factors that force people to run out of this country.
Why should you run?go there and learn some new stuffs
 
Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..

Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south Africa inawaka akawa anashangaa tu magorofa na mabarabara.

Kombe la dunia 2010 nchini South Africa loliwaacha wazungu midomo wazi,jiji kama Capw Town hata ulaya kuna majiji hayafikii uzuri wake

Kuna dada wakazi mmoja toka Iringa siku anaambiwa anaenda kufanya kazi Dar usiku hakulala.

Akapakizwa basi akashuka Magufuli stand then akapokelewa na mwenyeji wake mpaka Malamba mawili, baada ya miezi sita wakazinguana akarudi kijijini, ilikuwa ni kuponda jiji la Dar kuwa ni kubaya bora Iringa, kumbe hakuwahi kufika Kariakoo wala posta, Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Kigamboni, Msasani, Mikocheni, Mbweni nk.

Kuna watu wakiwa Dar wanajiona wajanja sana ila ni washamba.

South Africa ina vitu vya kushangaza, Europe na USA hali kadhalika.

Jambo ka kushangaza watanzania hatupendi kusafiri sijui kwa nini. Yaani ukienda nchi za watu utakuta wakenya na watu wa West Africa tu, watanzania ni wa kuhesabu. Hii inasababisha ushamba na uwezo mdogo wa kufikiri na ndio mtaji wa viongozi wetu ili watutawale.

Idara ya uhamiaji nayo ni kama imepewa maelekezo kunyima watu passport bila sababu za msingi.

Amin amin nawaambia bila kuusafiri nchi za wenzetu hatutobi. Akina Vasvo da Gama na Collumbus hawakuwa wajinga, Nyerere na Karume wakishasafiri kabla ya kuongoza nchi.

Nimeandika haya baada ya kukuta mzee mmoja huku Nzega hajawahi kufika Tabora mjini Tangu azaliwe halafu anakwambia Chama noma sijui CCM baba lao.

Kama hausafiri wewe ni mshamba,kusafiri ni elimu tosha

Umeongea kweli hata Mimi nilikuwa nawadharau wazungu, ila nilipoenda uingereza mwaka Jana kule Reading nimerudi nawaheshimu Sana.
 
Back
Top Bottom