Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo mshamba. Aliekwambia kwenda kuzurula kwa watu ndo ujanja ni nani?? tulia kwenu tengeneza kwenu, papende kwenu ili hao ulio wataja nao waje.Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..
Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south Africa inawaka akawa anashangaa tu magorofa na mabarabara.
Kombe la dunia 2010 nchini South Africa loliwaacha wazungu midomo wazi,jiji kama Capw Town hata ulaya kuna majiji hayafikii uzuri wake
Kuna dada wakazi mmoja toka Iringa siku anaambiwa anaenda kufanya kazi Dar usiku hakulala.
Akapakizwa basi akashuka Magufuli stand then akapokelewa na mwenyeji wake mpaka Malamba mawili, baada ya miezi sita wakazinguana akarudi kijijini, ilikuwa ni kuponda jiji la Dar kuwa ni kubaya bora Iringa, kumbe hakuwahi kufika Kariakoo wala posta, Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Kigamboni, Msasani, Mikocheni, Mbweni nk.
Kuna watu wakiwa Dar wanajiona wajanja sana ila ni washamba.
South Africa ina vitu vya kushangaza, Europe na USA hali kadhalika.
Jambo ka kushangaza watanzania hatupendi kusafiri sijui kwa nini. Yaani ukienda nchi za watu utakuta wakenya na watu wa West Africa tu, watanzania ni wa kuhesabu. Hii inasababisha ushamba na uwezo mdogo wa kufikiri na ndio mtaji wa viongozi wetu ili watutawale.
Idara ya uhamiaji nayo ni kama imepewa maelekezo kunyima watu passport bila sababu za msingi.
Amin amin nawaambia bila kuusafiri nchi za wenzetu hatutobi. Akina Vasvo da Gama na Collumbus hawakuwa wajinga, Nyerere na Karume wakishasafiri kabla ya kuongoza nchi.
Nimeandika haya baada ya kukuta mzee mmoja huku Nzega hajawahi kufika Tabora mjini Tangu azaliwe halafu anakwambia Chama noma sijui CCM baba lao.
Kama hausafiri wewe ni mshamba,kusafiri ni elimu tosha
ofa yangu 50k je naisaidika mnyonge mimiMje niwatafutiege visa mpae wajamenii mkasafishe macho.
Utalipia kauchakavu kidogo tuu
Mhhofa yangu 50k je naisaidika mnyonge mimi
Naheshimu mawazo yako mkuu,hongera kwa kusafiri, you tube na google zitakupa knowledge kubwa ila aliyesafiri kasafiri tu,wenzetu wa west africa wametapakaa dunia nzima na hii culture wanayo tangu enzi za mkoloni imewasaidia kuwa ba awareness na pia kutuma remintes nyumbani.maana utawakutawachezaji mpora kima nchi,wasanii,wasomi maarufu na wataalam dunia nzima,,kuona kwa macho na you tube ni tofauti,ndio maana watalii wazungu wanakuja serengeti kila siku wakati tayari wana data na information zake zote kupitia mitandaoSikubaliani na hilo? Unaweza ukafika kote uko na bado ukawa Mshamba na unaweza Ukapata knowledge ya all those places Google and YouTube na historia zake zote. Kusafiri ni gharama sana sana sana uko Ulaya au Marekani na changamoto za visa bora SA Hamna visa na bei nafuu. Ingawa nimefika SA cjafika Ulaya au Marekani nina jua a lot about those places including their history, languages they speak, economies and etc while watu wengi ambao wamefika could barely mention countries that border each other hata Km ni wazaliwa wa uko. So mtu ambaye anaishi US au Ulaya na hajui nchi nyingi za Africa bado namuona mshamba hata Km ana hela. Ushamba ni lack of knowledge Sema watanzania wengi wanapoteza bundle YouTube kucheki ujinga na Insta umbea ambao hauwasaidii hata kidogo except kutajirisha wapumbavu. So nakataa hoja.
Bonge la point mkuu.Sio kwamba watu hawapendi kusafiri, ila ni gharama sana kusafiri. Mtu anapambania mlo wa leo leo, unamwambiaje apange kusafiri Ulaya au Marekani?
Nyongeza: Unakutana na migration anayedhani wanaotaka kusafiri wanaenda kuchukua mbinu za kupindua serikali.Sio kwamba watu hawapendi kusafiri, ila ni gharama sana kusafiri. Mtu anapambania mlo wa leo leo, unamwambiaje apange kusafiri Ulaya au Marekani?
Bandiko lako lina ukweli [emoji817]%,Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..
Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south Africa inawaka akawa anashangaa tu magorofa na mabarabara.
Kombe la dunia 2010 nchini South Africa loliwaacha wazungu midomo wazi,jiji kama Capw Town hata ulaya kuna majiji hayafikii uzuri wake
Kuna dada wakazi mmoja toka Iringa siku anaambiwa anaenda kufanya kazi Dar usiku hakulala.
Akapakizwa basi akashuka Magufuli stand then akapokelewa na mwenyeji wake mpaka Malamba mawili, baada ya miezi sita wakazinguana akarudi kijijini, ilikuwa ni kuponda jiji la Dar kuwa ni kubaya bora Iringa, kumbe hakuwahi kufika Kariakoo wala posta, Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Kigamboni, Msasani, Mikocheni, Mbweni nk.
Kuna watu wakiwa Dar wanajiona wajanja sana ila ni washamba.
South Africa ina vitu vya kushangaza, Europe na USA hali kadhalika.
Jambo ka kushangaza watanzania hatupendi kusafiri sijui kwa nini. Yaani ukienda nchi za watu utakuta wakenya na watu wa West Africa tu, watanzania ni wa kuhesabu. Hii inasababisha ushamba na uwezo mdogo wa kufikiri na ndio mtaji wa viongozi wetu ili watutawale.
Idara ya uhamiaji nayo ni kama imepewa maelekezo kunyima watu passport bila sababu za msingi.
Amin amin nawaambia bila kuusafiri nchi za wenzetu hatutobi. Akina Vasvo da Gama na Collumbus hawakuwa wajinga, Nyerere na Karume wakishasafiri kabla ya kuongoza nchi.
Nimeandika haya baada ya kukuta mzee mmoja huku Nzega hajawahi kufika Tabora mjini Tangu azaliwe halafu anakwambia Chama noma sijui CCM baba lao.
Kama hausafiri wewe ni mshamba,kusafiri ni elimu tosha
Kwa Nini uamue kuumuza mbavu zangu bila ya ridhaa mfikiriage kabla ya kuangushia watu vichekeshoVipi dagaa kauzu linapatikana huko?.
Samaki migebuka na kibua wa mchuzi.
Bongo tamu sana asikwambie mtu..
Misiba ipo kote uwe SA,USA au Tanzania unasikia sana huko kwa sababu ya taarifa zinasambaa sana wakati hapa kwetu misiba ipo tena mingine ya ajabu unasikia Mwalimu kamchoma kisu Mwalimu mwenzie darasani nae kajinyonga...Kuna group lao mabaharia waliopo sauz huko facebook watanzania wanakufa sana RIP ni nyingi sana
Salute kwako mkuuUmeongea vitu vya msingi sana, kwa kweli safari ni shule tosha ya kujifunza maisha na kubadili mitazamo tuliyokuwa nayo kabla maishani kwetu. Yeyote anayesafiri mara kwa mara hata kama ni hapa hapa ndani ya Tanzania atakuwa na maarifa zaidi kuliko aliyebaki mahali pamoja. Unaposafiri hasa nje ya nchi unajiongezea maarifa na uwezo wa kuchammbua na kuyatazama maisha kwa mtazamo tofauti.
Mfano hai
Pamoja na kuishi Dar miaka mingi nimekuwa nikisafiri maeneo mbali mbali hapa Bongo kikazi ...... nimesafiri maeneo yenye hali ya hewa ya joto kama Tanga na Zanzibar na maeneo yenye baridi kama Moshi, Arusha, Iringa, Njombe, Mbeya, n,k kwa kuwa nimezoea sana hali ya hewa ya joto ya Dar nikajikuta napenda hali ya hewa ya baridi kama Arusha, Moshi, Iringa, nk. Miaka hiyo kila mara nilikuwa nikijiambia kwamba ninavyojiona nadhani napendelea zaidi maisha ya kukaa kwenye maeneo yenye baridi zaidi kuliko kuishi kwenye maeneo ya joto, hii ni kuzingatia uzoefu wangu wa kuishi Dar muda mrefu. Kumbe ...... I had no idea!
Safari yangu ya kwanza nikaenda DC - USA (Mwezi wa saba) hali ya hewa ilikuwa joto kama Dar, ya pili nikaenda Frankfurt (Ujerumani), (Mwezi wa sita) yaani jua kama vile niko Kariakoo. Ya tatu nikarudi tena DC (Mwezi wa kwanza) ndipo nilipokiona ' Cha Mtema Kuni', nilikumbana na baridi ambayo sijawahi kuiona maishani mwangu, kulinganisha na ile Moshi, Arusha au Iringa ... ni cha mtoto.
Hoja yangu ni kwamba nisingesafiri safari hizi bado ningebaki na mtazamo kwamba naipenda baridi kuliko joto.... SI KWA BARIDI LILE.
Usamba ni kitendo chakutofika UlayaGodbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..