Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

Naunga mkono hoja
 
Nimeandika haya baada ya kukuta mzee mmoja huku Nzega hajawahi kufika Tabora mjini Tangu azaliwe halafu anakwambia Chama noma sijui CCM baba lao.
Na wewe umefika nchi ngapi na vipi ushatoboa?
 
babako na mamako walifika lini? babu na bibi je? kwa hiyo tuwaiteje? we si bora ungetupwa kwenye ndoo ya taka
 
Mkuu hata wewe kama bado hujafika Songea ukakutana na viuno vya Kingoni pia ni mshamba.
Kama hujafika Tanga ukakutana na mashangazi wakarimu wa Tanga nawe ni mshamba tu.
Kama hujafika kigoma ukakutana na mizigo ya kimanyema na kikasai nawewe mshamba tu.

Hapa hapa bongo ukiwa na hela tu unaishi vizuri na kusahau kabisa hizo hadithi za alinacha sijui USA mara SA sijui Europe..
 
Sie tunataka kwenda kwenye mwezi na mars uko tunamsikilizia kwanza engineer wetu Elon Mask afanye mambo
 
Unamaanisha Nini unaposema Europe and USA,umetembea Ulaya nzima na USA yote yenye States 50? South Africa kwa vijana wa nyanda za juu kusini ni kama kuja DAR tu, [emoji1787][emoji1787],Blantire, Lilongwe, Lusaka mpaka Bulawayo, still is Africa, Hakuna Jipya.
There is no push factors that force people to run out of this country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…