Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

Mtoa mada. ni mshamba pia. Kwani, anaonyesha ushamba wake. Unaweza kufika kote huko ukabaki mshamba tu. Mbona hata huko kuna washamba. Nenda North Amerika utashangaa. Wengi wa unaokutana nao wanakwambia are you from Africa? Ukisema yes, but I am from Tanzania. Wanasema Tasmania? Jeez!
 
Na bora uhamiaji waendelee kuwazui kutoka nje ya nchi vijana wengi waliozamia sauz kila siku wanakufa lakini wengi wapo huko miaka na miaka bado hawajulikani wanafanya nini
Wengine ni matapeli kwa watanzania wenzao
 
Mkuu kwann umeitaja Nzega??[emoji2]
Tabora imekaa kushoto sana ya nzega. Watu wa nzega kuliko kwenda tabora mjini wanaona bora waende Mwanza.

Kuhusu kusafiri umesema kweli.
Kuna watu hadi wanazeeka hajasafiri hata mikoa mitano ya Tz.

Sasa kwenda nje ya nchi ndio hata hawajawaza kabisa.

Kusafiri ni kuielewa dunia ilivyo
 
Sisi tusio safiri tunawakilishwa na mzee wetu Mheshimiwa sana Vasco Da Gama, kipindi cha kati hapo ni kama alipunguza udagama wake ila sasa ndio anatuwakilisha sana kwa raha zake.
 
Watu waliposafiri kipindi cha ujana wetu walikuja na Ruba mtoni. Je umerudi na nini?
 
We jamaa bana.
Watu wengi wa ulaya,North and south America hasa vijana (including waliopo mashuleni plus mavyuo) hawazijui hata nchi tano za africa

Yani Tanzania ndo yakizobaa zoba hata haifahamiki destination za ndege tu za kuhesabika.
Sisi ndio tuna shobo na historia zao walizoziweka ancestors wao
 
Sawa bodaboda naona unajibu mapigo ila babu Yako mamako babako pia washambaaaaaa
 
Why should you run?go there and learn some new stuffs
 

Umeongea kweli hata Mimi nilikuwa nawadharau wazungu, ila nilipoenda uingereza mwaka Jana kule Reading nimerudi nawaheshimu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…