Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Innalilahi wa Inna Illahi Rajjiuunili wasiliane naye kwa ajili ya utaratibu wa kumzika au kumchoma au kusafirisha maiti kwenda Tanzania
Inasikitisha Sana.Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC umepokea barua pepe kutoka “The Office of Chief Medical Examiner” ikitaarifu kuwa inachunguza kifo cha Mtanzania aitwaye KHALIFA H. SIWA ambaye alikuwa amefariki barabarani kwenye mtaa wa Henry Hudson Parkway, North Bound, Jason to 88 Street, New York, 10024 siku ya tarehe 02 Septemba 2026. Aidha amezaliwa tarehe 24 Novemba 1972.
3. Ubalozi unaomba kwa yeyote anayemfahamu au kujua ndugu zake hapa Marekani au Tanzania ili wajulishwe kwa kuwa ofisi ya OCME inataka kujua ‘Next of Kin’ ili wasiliane naye kwa ajili ya utaratibu wa kumzika au kumchoma au kusafirisha maiti kwenda Tanzania.
4. Tutashukuru sana endapo kuna mtu ana mfahamu au kuwajua ndugu zake. Tafadhali wasiliana na Richard Lupembe Afisa Ubalozi kwenye namba +1 202 468 4441 au barua pepe rlupembe@tanzaniaembassy-us.org
View attachment 3662907
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC umepokea barua pepe kutoka “The Office of Chief Medical Examiner” ikitaarifu kuwa inachunguza kifo cha Mtanzania aitwaye KHALIFA H. SIWA ambaye alikuwa amefariki barabarani kwenye mtaa wa Henry Hudson Parkway, North Bound, Jason to 88 Street, New York, 10024 siku ya tarehe 02 Septemba 2026. Aidha amezaliwa tarehe 24 Novemba 1972.
3. Ubalozi unaomba kwa yeyote anayemfahamu au kujua ndugu zake hapa Marekani au Tanzania ili wajulishwe kwa kuwa ofisi ya OCME inataka kujua ‘Next of Kin’ ili wasiliane naye kwa ajili ya utaratibu wa kumzika au kumchoma au kusafirisha maiti kwenda Tanzania.
4. Tutashukuru sana endapo kuna mtu ana mfahamu au kuwajua ndugu zake. Tafadhali wasiliana na Richard Lupembe Afisa Ubalozi kwenye namba +1 202 468 4441 au barua pepe rlupembe@tanzaniaembassy-us.org
View attachment 3662907
Hata mkitengeneza hatuweki taarifa zetu za kweli hatutaki kutekwa au kufatiliwaTuna safari ndefu ya kutengeneza database. Poleni wafiwa
Mkuu tujulishe msiba ulisababishwa na nini kama hutojali.RIP Khalifa.
Msiba wangu kabisa natafuta ndugu na jamaa Tanzania na New York City/New Jersey.
Pole sana mkuu.RIP Khalifa.
Msiba wangu kabisa natafuta ndugu na jamaa Tanzania na New York City/New Jersey.
Itakuwa iliyopo ni ile ya kuchukua tu, TAARIFA zako yaani anuani na NAMBA ya simu.Tuna safari ndefu ya kutengeneza database. Poleni wafiwa
Khalifa alikuwa mtu fulani wa stories sana. Halafu mtu fulani mwenye sura tofautitofauti ambazo usipokuwa makini kumsoma, angeweza kukushangaza.Pole sana mkuu.
Ni hali mbaya tu sasa watu tupo hapahapa Downtown Brooklyn na twapishana tu.
RIP ndugu yetu.
Lakini kama hutajali utatupatia wasifu mfupi wa marehemu.
Hujajibu swali! Ni nani na alitokea wapi? Je, ndugu zake ni nani na alikuwa anaishi mitaani etcKhalifa alikuwa mtu fulani wa stories sana. Halafu mtu fulani mwenye sura tofautitofauti ambazo usipokuwa makini kumsoma, angeweza kukushangaza.
Siku moja anakuelezea viwanja (clubs) tofautitofauti hata usivyovijua vya New York City, akikupitisha kona zote na habari zake za ndani kabisa kama mtu aliyeujua mji vizuri kwa miaka mingi, halafu ukianza kufikiri huyu ni mtu wa maisha ya kuponda maraha New York City tu, unamkuta anaongelea mambo ya trading na investment kama trader wa floor ya New York Stock Exchange, na sio kuongelea tu, anakuambia kuhusu trades anazofanya.
Kuna siku alinihoji sana kuhusu kazi zangu Wall St., akaingia so deep kwenye mambo ya trading na jinsi quantitative easing inavyoingilia uchumi, kiasi nikajistukia kuwa huyu jamaa si wa kumchukulia poa kama nilivyodhania awali.
Alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya mazungumzo, kwa namna ambayo yanaweza kuwa na masihara halafu masihara yakizidi, atakurudisha kwenye maswali ya msingi, kwa namna ambayo hata anapokupinga, ubishi wake unakuwa wa kirafiki sana, kitu ambacho watu wengine wa New York City / Jersey City, hawakuweza, kwa kuwa na ego, ubishi wao unakuwa na muhuri wa shari za mji huu usiolala.
Khalifa alikuwa mtu wa matumaini, mtu wa cheko muda wote, mtu wa kujishusha kiasi wasiomjua vizuri wangeweza kirahisi kukosea kukisia daraja lake la maisha kwa kumfikiri mtwana, mtu wa matani sana na kuweza kuunganisha vizuri u Marekani na Utanzania wake. Wengi huzidisha u Tanzania sana, au u Marekani sana, Khalifa aliweza ku balance vizuri sana identities mbili hizi. Sijawahi kumuona amekasirika.
Ukimkuta leo kapiga vitu vya Kinyamwezi kama mtoto wa Harlem au Brooklyn, kesho usishangae ukimkuta kapiga bonge la kanzu kama Shehe wa Msikiti wa Tambaza.
Alikuwa mtu aliyependa maisha na starehe, lakini pia aliyependa kujumuika na watu, na kufanya kazi sana ili kuyapata hayo maisha mazuri. Na mara nyingi kwenye starehe hukohuko mko naye, kumbe mwenzenu anafanya kazi zake pia.
Alikuwa na uwazi fulani ambao binafsi niliupenda, a mix between, on one hand, a New Yorker's "call it as it is, no beating around the bush" attitude, and on another hand, a down home Tanzanian sensibility, a respect for savoir faire.
A type of person with a talent for reading people and rooms, who would immediately know who is who, in a "real recognize real" fashion. An invaluable asset in the New York City circles where you meet all kinds of people, from blueblood billionaires to fresh off the boat paupers.
Never without a story to relate, always a street diplomat to mediate friendly squabbles without enabling any bullshit, he walked the fine line.
An effortless comedian who provocatively challenged Tanzanian norms in a humorous and likable way.
It was like yesterday, the Jersey City parties, the stories, the aspirations, the banter.
He will be missed.
Innalillah wa inna illahi Raji'uun.
Pole sana kwa huu msiba Chief.Khalifa alikuwa mtu fulani wa stories sana. Halafu mtu fulani mwenye sura tofautitofauti ambazo usipokuwa makini kumsoma, angeweza kukushangaza.

Kiranga amejitolea kuandika taarifa kadri alivyoona inafaa. Taarifa alizoweka, ni zile alizoona zinafaa kuwa wazi na kwa namna yeye binafsi alivyomfaham marehem.Hujajibu swali! Ni nani na alitokea wapi? Je, ndugu zake ni nani na alikuwa anaishi mitaani etc
dhima ya huu uzi, imezingatiwa?Kiranga amejitolea kuandika taarifa kadri alivyoona inafaa. Taarifa alizoweka, ni zile alizoona zinafaa kuwa wazi na kwa namna yeye binafsi alivyomfaham marehem.
Nimejibu ila wewe labda ndiye hujajua kusoma kwa ufahamu na kuelewa muktadha wa kwamba what I wrote is a personal eulogy, not a biography.Hujajibu swali! Ni nani na alitokea wapi? Je, ndugu zake ni nani na alikuwa anaishi mitaani etc
dhima ya huu uzi, imezingatiwa?