Uwe na tabia ya kukubali kukosolewa! Uzi ni wa kutafuta ndugu wewe unakuja na ngonjera zako. Jibu uzi kwanza na ngonjera baadayeExactly,
Mkuu unenielewa vizuri sana.
Uwe na tabia ya kukubali kukosolewa! Uzi ni wa kutafuta ndugu wewe unakuja na ngonjera zako. Jibu uzi kwanza na ngonjera baadayeExactly,
Mkuu unenielewa vizuri sana.
Uwe na tabia ya kusoma uzi.Uwe na tabia ya kukubali kukosolewa! Uzi ni wa kutafuta ndugu wewe unakuja na ngonjera zako. Jibu uzi kwanza na ngonjera baadaye
Tatizo mnatafuta umaarufu badala ya kuwa wasomaji. Uwe na kawaida ya kukubali kukosolewaUwe na tabia ya kusoma uzi.
Ungekuwa unasoma ungeelewa kuwa ndugu washapatikana na mipango inaendelea na ubalozi umetengeneza taharuki isiyo ya lazima kwa kutoa hii habari kwa papara tu.
Tatizo mnatafuta umaarufu badala ya kuwa wasomaji. Uwe na kawaida ya kukubali kukosolewa
Kila siku matusi! Huo ni utoto ingawa wewe ni mtu mzima. Wazee huwa tunajiheshimu ili tuwafunze vijana. Kubali kukosolewa ndiyo mijadala ya kiutu uzimaMimi maarufu tayari, nimezaliwa umaarufu unanitafuta mimi, sitafuti umaarufu. Umaarufu nimeukimbia Tanzania kama alivyoukimbia Prince Akim of Zamunda, nikaja nchi za watu New York City wasiponijua. Niwe mu Africa tu nisiye maarufu.
Nimekupa option ya kuniweka ignore list. Usione ninachoandika, maana kwa sababu gani sijui hupendi.
Naona umeshindwa.
Basi mimi nakupeleka wewe ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Usije kuharibu uzi wa msiba.
Yani wewe mtu gani hata uzi wa msiba unaleta ubishi wa kishenzi?
Bro shida nini? Marehemu unamtakia nin mzee? Tanzia nayo ya kuiletea ligi?🚮Kila siku matusi! Huo ni utoto ingawa wewe ni mtu mzima. Wazee huwa tunajiheshimu ili tuwafunze vijana. Kubali kukosolewa ndiyo mijadala ya kiutu uzima
Tuko tofauti sana mkuu.Bro shida nini? Marehemu unamtakia nin mzee? Tanzia nayo ya kuiletea ligi?🚮
usikute alikua member wa JF. Yule boss wa zamani wa teeth si alikua anaitwa Siwa,huenda ni ndugu.Khalifa alikuwa mtu fulani wa stories sana. Halafu mtu fulani mwenye sura tofautitofauti ambazo usipokuwa makini kumsoma, angeweza kukushangaza.
Siku moja anakuelezea viwanja (clubs) tofautitofauti hata usivyovijua vya New York City, akikupitisha kona zote na habari zake za ndani kabisa kama mtu aliyeujua mji vizuri kwa miaka mingi, halafu ukianza kufikiri huyu ni mtu wa maisha ya kuponda maraha New York City tu, unamkuta anaongelea mambo ya trading na investment kama trader wa floor ya New York Stock Exchange, na sio kuongelea tu, anakuambia kuhusu trades anazofanya.
Kuna siku alinihoji sana kuhusu kazi zangu Wall St., akaingia so deep kwenye mambo ya trading na jinsi quantitative easing inavyoingilia uchumi, kiasi nikajistukia kuwa huyu jamaa si wa kumchukulia poa kama nilivyodhania awali.
Alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya mazungumzo, kwa namna ambayo yanaweza kuwa na masihara halafu masihara yakizidi, atakurudisha kwenye maswali ya msingi, kwa namna ambayo hata anapokupinga, ubishi wake unakuwa wa kirafiki sana, kitu ambacho watu wengine wa New York City / Jersey City, hawakuweza, kwa kuwa na ego, ubishi wao unakuwa na muhuri wa shari za mji huu usiolala.
Khalifa alikuwa mtu wa matumaini, mtu wa cheko muda wote, mtu wa kujishusha - ila si kuwa doormat- kiasi wasiomjua vizuri wangeweza kirahisi kukosea kukisia daraja lake la maisha kwa kumfikiri mtwana.
Alikuwa mtu wa matani sana na kuweza kuunganisha vizuri u Marekani na Utanzania wake. Wengi huzidisha u Tanzania sana, au u Marekani sana, Khalifa aliweza ku balance vizuri sana identities mbili hizi. Sijawahi kumuona amekasirika.
Ukimkuta leo kapiga vitu vya Kinyamwezi kama mtoto wa Harlem au Brooklyn, kesho usishangae ukimkuta kapiga bonge la kanzu kama Shehe wa Msikiti wa Tambaza, anatembea barabarani.
Alikuwa mtu aliyependa maisha na starehe, lakini pia aliyependa kujumuika na watu, na kufanya kazi sana ili kuyapata hayo maisha mazuri. Na mara nyingi kwenye starehe hukohuko mko naye, kumbe mwenzenu anafanya kazi zake pia.
Alikuwa na uwazi fulani ambao binafsi niliupenda, a mix between, on one hand, a New Yorker's "call it as it is, no beating around the bush" attitude, and on another hand, a down home Tanzanian sensibility, a respect for savoir faire.
A type of person with a talent for reading people and rooms, who would immediately know who is who, in a "real recognize real" fashion. An invaluable asset in the New York City circles where you meet all kinds of people, from blueblood billionaires to fresh off the boat paupers.
Never without a story to relate, always a street diplomat to mediate friendly squabbles without enabling any bullshit, he walked the fine line.
An effortless comedian who provocatively challenged Tanzanian norms in a humorous and likable way.
It was like yesterday, the Jersey City parties, the stories, the aspirations, the banter.
He will be missed.
Innalillah wa inna illahi Raji'uun.
Ilitakiwa awe na umri gani?Khalifa was born in 1972,
53 years of age,but how come?..
Not even a joke kaka. Umeamua vyema kuleta utulivu.Tuko tofauti sana mkuu.
Kuna watu wanaishi kwenye ujima bado.
Yani mimi kumu eulogize Khalifa, tena kwa kuwa mtu kaniomba, yeye kakasirika.
Ubalozi ume kurupuka. Unapata picha kuna watu wa aina gani hukokweli kama ulivoongea Mkuu Kiranga ubalozini hawakutafakari kwa kina kabla ya kuandika hili tangazo lao..Wamwmtengenezea mazingira Marehemu aonekane homeless.Kumbe ni mtu anaefahamika hadi kuna movie yupo tena kama staring kabisa
Na ukiyaunganisha hayo maneno?Inasikitisha Sana.
Kafa Usa Mazishi Afrika.
Yeah Kibongo Bongo hii inatutosha kutujua sana wakitujua mama zetu inatosha!Itakuwa iliyopo ni ile ya kuchukua tu, TAARIFA zako yaani anuani na NAMBA ya simu.
Wenzetu wapo strictly kwenye ishu za tarehe kama kesho 05/08 ulikuwa ufikishe miaka 27 ukakata moto leo 04/08 unahesabika na miaka yako 26.Khalifa was born in 1972,
53 years of age,but how come?..
Almost 54Ilitakiwa awe na umri gani?