mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kwa tz wanakaa kinondoni BRIP Khalifa.
Msiba wangu kabisa natafuta ndugu na jamaa Tanzania na New York City/New Jersey.
Unaingia njia ya ben pub zamani unafata lami kona kama unataka tokea kanisani,nasikia washaweka turubahi
Ova