Mtanzania Khalifa Siwa Afariki New York, Ubalozi Watafuta Ndugu Zake

Uwe na tabia ya kukubali kukosolewa! Uzi ni wa kutafuta ndugu wewe unakuja na ngonjera zako. Jibu uzi kwanza na ngonjera baadaye
Uwe na tabia ya kusoma uzi.

Ungekuwa unasoma ungeelewa kuwa ndugu washapatikana na mipango inaendelea na ubalozi umetengeneza taharuki isiyo ya lazima kwa kutoa hii habari kwa papara tu.

Kuhusu ninachopost, niliombwa kutoa wasifu wa marehemu kama ninavyomjua, nikamjibu aliyeniomba.

Kama hupendi ninavyoandika unaweza kunipeleka ignore list usione kabisa ninachoandika, hujalazimishwa kusoma.

Shida iko wapi?
 
Tatizo mnatafuta umaarufu badala ya kuwa wasomaji. Uwe na kawaida ya kukubali kukosolewa

Mimi maarufu tayari, nimezaliwa umaarufu unanitafuta mimi, sitafuti umaarufu.

Umaarufu nimeukimbia Tanzania kama alivyoukimbia Prince Akeem of Zamunda, nikaja nchi za watu New York City wasiponijua. Niwe mu Africa tu nisiye maarufu.

Nimekupa option ya kuniweka ignore list. Usione ninachoandika, maana kwa sababu gani sijui hupendi.

Naona umeshindwa.

Basi mimi nakupeleka wewe ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.

Usije kuharibu uzi wa msiba.

Yani wewe mtu gani hata uzi wa msiba unaleta ubishi wa kishenzi?
 
Kila siku matusi! Huo ni utoto ingawa wewe ni mtu mzima. Wazee huwa tunajiheshimu ili tuwafunze vijana. Kubali kukosolewa ndiyo mijadala ya kiutu uzima
 
usikute alikua member wa JF. Yule boss wa zamani wa teeth si alikua anaitwa Siwa,huenda ni ndugu.
 
kweli kama ulivoongea Mkuu Kiranga ubalozini hawakutafakari kwa kina kabla ya kuandika hili tangazo lao..Wamwmtengenezea mazingira Marehemu aonekane homeless.Kumbe ni mtu anaefahamika hadi kuna movie yupo tena kama staring kabisa
 
kweli kama ulivoongea Mkuu Kiranga ubalozini hawakutafakari kwa kina kabla ya kuandika hili tangazo lao..Wamwmtengenezea mazingira Marehemu aonekane homeless.Kumbe ni mtu anaefahamika hadi kuna movie yupo tena kama staring kabisa
Ubalozi ume kurupuka. Unapata picha kuna watu wa aina gani huko
 
Itakuwa iliyopo ni ile ya kuchukua tu, TAARIFA zako yaani anuani na NAMBA ya simu.
Yeah Kibongo Bongo hii inatutosha kutujua sana wakitujua mama zetu inatosha!

Mazingira ya Tanzania taarifa nyingi za mwananchi zikiwa rahisi kuwa accessed na serikali hata akifanya jema lisipowapendeza wanasiasa ni rahisi kudhurika.
 
Khalifa was born in 1972,
53 years of age,but how come?..
Wenzetu wapo strictly kwenye ishu za tarehe kama kesho 05/08 ulikuwa ufikishe miaka 27 ukakata moto leo 04/08 unahesabika na miaka yako 26.

Bongo tunahesabu jumla jumla mtu amezaliwa December 30 kafa January 01 utasikia ana miaka 40 kumbe ana 39 na siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…