Mtanzania Khalifa Siwa Afariki New York, Ubalozi Watafuta Ndugu Zake

Shukrani sana.

Hata hivyo Ubalozi umekosea kufanya walokifanya.

Kuna mgahawa mmoja maarufu waitwa Teranga Midtown, mimi hununua msosi wa kiafrika pale Nikitamani. Upo mtaa wa Lexington.

Sasa hapo waafrika wengi hutia timu hapo kupata chakula na vinywaji na Nina uhakika nimewahi kumwona hapo.

RIP kwake.

Kuhusu Deo, mimi namfahamu uzuri sana tumekuwa pamoja. Deo ameishi Rome muda mwingi.
 
We mzee upo
 

That makes sense.
 
Hawajamteka kweli hawa wa sa200.kama tu rachael dangwa walimteka itakuwa na huyu walienda huko marekani kumteka.Madhara ya awamu isiyochaguliwa na wananchi inatukera sana
 
Hawajamteka kweli hawa wa sa200.kama tu rachael dangwa walimteka itakuwa na huyu walienda huko marekani kumteka.Madhara ya awamu isiyochaguliwa na wananchi inatukera sana
Mkuu, hapa NY pana mambo mengi sana uhalifu khasa watu kufa vifo vya ajabu ajabu ni jambo la kawaida.

NYPD upande wa Homicide wana kazi ngumu.

Ni kuchukua tahadhari.
 

Siku hizi balozi za Tanzania kuna kina 'Mafwele' wengi, waTanzania wanakaa mbali kabisa na maafisa wa balozi za Tanzania
 
Kwa walioguswa kujua zaidi kuhusu huu msiba, kazini kwake wametoa habari zaidi.

Hi, I am Sarah from Westway Transport Solutions LLC. We are a yellow cab leasing company and tragically, one of our drivers was found dead on Wednesday night. His name was Khalifa H Siwa.

Brother Khalifa has been working with us for about a year. He was from Tanzania and had no immediate family in USA. He was known to me to be a very quiet, humble and hard-working person. He lived most of his life in USA and he was the eldest of 4 Brothers. He lived his life taking care of his family until his last day.

He was a NYC Yellow Taxi driver and spent most of his time driving around the streets of New York. On Wednesday September 2nd, 2026, we were notified that he was found dead on the Henry Hudson Parkway at an emergency stop designated area. Police found him with his diabetes injection in his hand as we knew he had been dealing with medical issues for a few months. He recently had a stroke and the last week of July; he was admitted for a few days in the hospital due to his diabetes.

We are saddened by the news of his passing and immediately tried to find friends and family to inform them of the news. We have found friends who knew him since his childhood and the type of person he was. As an eldest brother he took care of his family & mother. He gave everything for them and even put his brothers through college. We are here trying to give our final farewell to him and upon the family's wishes, transport him back to his hometown in Tanzania.

He was a Muslim; we are in coordination with Islamic International Funeral services and the Tanzanian Consulate to get him to his final resting place. Our Brother is depending on us to get him to his final home.

Please keep him and his family in your prayers.
 
Kuna mengine tunawasiliana jumuiya ya Watanzania NY/NJ, ubalozi, na familia Tanzania

Siwezi ku pre empt wasemaji wa familia.
Namjuwa jamaa aise longtime kinondoni walikuwa wana miliki mgahawa wa unaitwa eches pale manyanya
Mama yake alitufundisha forodhani primary school
Kuna ndg zake huko nmewasiliana nao wakina S na I.siwa
Acha tuishie hapa tuone ndugu wanajuwa zaidi

Poleni wana new Yorkers

Ova
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…