Mtanzania Khalifa Siwa Afariki New York, Ubalozi Watafuta Ndugu Zake

kweli kama ulivoongea Mkuu Kiranga ubalozini hawakutafakari kwa kina kabla ya kuandika hili tangazo lao..Wamwmtengenezea mazingira Marehemu aonekane homeless.Kumbe ni mtu anaefahamika hadi kuna movie yupo tena kama staring kabisa
Upo sahihi kabisa Kigogo,Ubalozi umefanya makusudi kwenye hii issue ya ndugu Siwa.kwani inaonekana wanaokosoa sana Utawala huu ni Diaspora,lengo ni kua Diaspora waonekana hawana hata makazi huko,hivyo tusiwatilie maanani
 
Shukrani sana ndugu Mrangi. Wewe unamjua sana marehemu Khalifa. Yaani kwa kujua tu zile Eches Cafes za Kinondoni na ile ya Kariakoo ni kwamba hii family unaifahamu vizuri. Wewe ni mwana Kinondoni halisi.
 
Almost doesn’t count.

Kama kazaliwa Disemba 20, 1972, atakuwa na umri gani? 53 au 54?
😹😹😹😹😹😹
Jamaa anataka marehemu aongezewe miezi ambayo hajafanikiwa kuimaliza Ili tu itimie miaka anayoitaka yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…