- Thread starter
- #21
Ni ujinga wake tu, nenda kadai fidia kwa taifa kubwa ndio utajua hujui
Aliuita SS huu wa kwako kuwa ni wivu wa kike. Kwa vile umeangalia hutopata hata ndululu umeona ya nini ila ingekuwa Noah za makinikia? Bure kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga wake tu, nenda kadai fidia kwa taifa kubwa ndio utajua hujui
Namibia wanalipwa fidia na Ujerumani kwa Babu zao kuchukuliwa utumwa. Wakenya waliouawa kwenye vita vya maumau wakipigania uhuru wanaidai UK fidia ila ma meeeeee meeeeee!Ni ujinga wake tu, nenda kadai fidia kwa taifa kubwa ndio utajua hujui
Aliambiwa achague kutumikia kifungo chake au atolewe akapigane mkabala na wagner group
Hukusikia huko alikuwa shule? Kwenda shule ni kiherehere ila kula ugali huku na kushiba ndiyo ujanja?Na yeye huko alikubalije kwenda kama sio kihelehele kaacha kula ugali uku ashibe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hukusikia huko alikuwa shule? Kwenda shule ni kiherehere ila kula ugali huku na kushiba ndiyo ujanja?
Uliwahi kusikia watu wametekwa na kulazimishwa kupigana bega kwa bega upande wa adui? Wewe unajua je kuwa vitani alikwenda Kwa ridhaa yake?
Wivu wenu huu siyo ule uliotambuliwa na Mheshimiwa Six?
Hukusikia huko alikuwa shule? Kwenda shule ni kiherehere ila kula ugali huku na kushiba ndiyo ujanja?
Uliwahi kusikia watu wametekwa na kulazimishwa kupigana bega kwa bega upande wa adui? Wewe unajua je kuwa vitani alikwenda Kwa ridhaa yake?
Wivu wenu huu siyo ule uliotambuliwa na Mheshimiwa Six?
Oh kumbe alikuwa shule wakati wakina sonia monalisa wanatolewa yeye alikuwa wapi?
Utopolo kwa lipi wakati mwenyewe alikuwa mfungwa na njaa yake na ujinga wake ndivyo vimemponza. Acheni kutaka vya dezoMtanzania mwenzetu kafia Ukraine Kwa niaba ya Russia.
Kulikoni serikali ya Urusi ikamfikisha mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
Sasa wewe mwenye kudhani Nemes alikuwa masomoni Ukraine si inabidi kusubiri angalau K-vant ikupungue kichwani ndugu? 🤣🤣🤣Wewe huna wivu?
Sasa wewe mwenye kudhani Nemes alikuwa masomoni Ukraine si inabidi kusubiri angalau K-vant ikupungue kichwani ndugu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utopolo kwa lipi wakati mwenyewe alikuwa mfungwa na njaa yake na ujinga wake ndivyo vimemponza. Acheni kutaka vya dezo
Alikuwa mfungwa Kwa kosa lipi? Wapi mikataba inaruhusu wafungwa kwa njaa au ujinga wao kupelekwa vitani?
Acheni wivu wa kijinga. Kinachogomba hapa ni haki za mtu. Kumbuka haki ya mtu ni yake hata kama wewe hutapata lolote.
Kinyume cha hapo ni wivu tu kama alioutambua bwana Sitta.
Alitenda kosa akafungwa kisheria.Siyo lazima mfahamu ni kosa gani,ni mambo ya kifamilia.
Yaani unafafanua simple tu kama issue ya fei totoAliambiwa achague kutumikia kifungo chake au atolewe akapigane mkabala na wagner group
Wew mbishi tatizo sijui umetokea kigoma
Ndiyo vijana wa kitanzania hao kwenye ubora wao. Akiwaita yule bwana vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili. Mawazo yao ni ngono. Weka mada hizo uone akili zao ziliko.Yaani unafafanua simple tu kama issue ya fei toto
Upumbavu wake huo ni upi ambao serikali au wengine hatuujui ila wewe?Huyo Mtanzania aliyekufa ni mpumbavu, na sioni haja ya serikali kujihusisha na MPUMBAVU kama huyo