samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Ndugu zake au nchi inaweza fidiwa hujasikia Ujerumani wana mpango wa kurudisha mafuvu ya wapiganaji wa Afrika mashariki waliouawa karne ya 19 na kuna wito wa kulipwa fidia?Maiti huwa anafidiwa kwa shilingi ngapi eti?