mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaio wale wanaosema walimkataza tarimo kujiunga ila akagoma akidai anatak uhuru wake,ni watu wamepangwa kupotosha au unamaanisha nn?Eti nenda page millard ayo,kwani kila habari millard ndiyo ina uhakika asilimia 100,yeye mwenyewe anaokota okota habari tu
Mm hyu mwamba hata simlaumu kwa hatua yKe kwanza watu aina hii ndy wanatakiwa kuwepo
Ova
Uthibitisho wako uko Millard Ayo? 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nshakwambia nenda millard ayo katafute post familia ikiongelea hili swala ndo uhiari utauona pale.
Kingne njoo na uthibitisho kuonyesha mfugwa wa kimataifa awez kwenda vitan.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] mnaleta siasa kweny logic.
Okay sawa hakuwa huru.Na mtu kuwa Gerezan ni sawa na kutokuwa huru hana kauli tafsir anaongozwa kila kitu yey ndio. So nisingeshangaa if mrusi angeenda akapick wafungwa akapeleka vitan.Definition yako ya mtu huru na freewill ina tatizo.
Maana ya mtu ni yule anaefanya maamuzi bila ya pressure zozote.
Sasa utasemaje ni maamuzi huru wakati kuna option ya kukaa jela miaka saba au kujaribu kununua uhuru wako kwa kwenda vitani.
Vitu vingine kubishana ni kazi na mtu ambae ajawahi nor attempt to envision the circumstances of others.
Hivi we ufungwe jela miaka saba halafu ni 23 hours lock up labda, huna ndugu huko wa kuja kukutembelea, sio culture yako; do you understand the psychological deprivation and desperation ya kuutaka uhuru.
Halafu mtu anakuja katika situation hiyo anakupa option ya kwenda vitani uelewi mazingira yenyewe, hujui mashambulizi wanayopokea tofauti na wewe unaesoma propaganda za pande zote (Russia media zitasema wanashinda na very little loss of lives), halafu wanakwambia labda role yako sio front line and so forth.
Ni hivi ni ujuha wa hali ya juu kusema maamuzi yake yalikuwa huru.
Eti millard ayo wao wenyewe wanaokotakota mitandaoni habariUthibitisho wako uko Millard Ayo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa mkuu.
Kwahio ulitak al Jazeera waje waihoji familia ya tarimo ndo muamini yey ndo alichagua kwenda vitan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Eti millard ayo wao wenyewe wanaokotakota mitandaoni habari
Ova
Pitia ‘UN declaration of human rights’ utaona haki zake. ZilizovunjwaOkay sawa hakuwa huru.Na mtu kuwa Gerezan ni sawa na kutokuwa huru hana kauli tafsir anaongozwa kila kitu yey ndio. So nisingeshangaa if mrusi angeenda akapick wafungwa akapeleka vitan.
Naamin dunia kwa kulijua hili kuna sheria za kuwalinda hawa watu wasio na uhuru.
Kitu nahitaj kutoka kwenu ni uthibitisho wa kuonyesha hiki alichofany mrusi ni kosa kisheria. No room for feelings only vifungu vya sheria juu ya hili swala, kwamba according to sheria hii mrusi yupo hatiani
Sakata lenyewe la madawa siyo kama aliwahi kujihusisha na biashara hyoMtu ameamua kwa hiari yake kujiunga na Russia tatizo lipo wapi hapo?
Hivi angefanikiwa kurudi Salama na kulipwa mkwanja $ ndefu,.
Angeipa serikali ya Tanzania kiasi gani?
Kuna madai mengine ukidai utaonekana mwehu..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Mbona ndugu wanasema hawajui chochote zaid ya ndugu yao kwenda kusoma [emoji23][emoji41].Sakata lenyewe la madawa siyo kama aliwahi kujihusisha na biashara hyo
Ndg wanakuambia mwanamke ndiyo alimchomekea madawa ili kumkomoa,baada ya mwamba kumcheat mwanamke wake na mwanamke mwingine...
Ova
Ngoja nipitiePitia ‘UN declaration of human rights’ utaona haki zake. Zilizovunjwa
Kuwekwa jela muda mrefu bila ya kesi yake kusikilizwa
Kuwa recruited kwenye vita ya nchi nyingine akiwa under pressure
Mashaka ya juu ya kesi ya msingi
Na mambo luluki ukipitia human rights act.
Personal kwetu kumekucha muda wa mambo mengine sina muda kwa sasa kuipitia hiyo sheria nor other international conventions rules of war engagements.
Nonetheless it’s not hard to see his rights were violated, mistreated and abused leading to his death.
[emoji112]
Rip Nemes....Cha kwanza alikuwa mfungwa. Mfungwa hana maamuzi wala uchaguzi. Hadi kupiga kura bongo hayuko eligible.
Weka wako sasa kuwa alikwenda kwa ridhaa yake.
Inasikitisha sana......Kuna uwezekano kesi ilikuwa pia ya kubambikwa tu halafu ikawa inapigwa tarehe kila mara mwishowe akalazimishwa kwenda vitani.... inasikitisha sana..Tabia yake kutokana na maelezo ya ndugu zake ni mtu anaependa secluded life, sio wa kujichanganya, hana marafiki wengi, amesoma degree ngumu, haujui mji vizuri (it takes knowledge ya mitaa kusukuma kete), age yake doesn’t fit with the usual profile.
Ni ngumu sana kuamini kama huyo mtu anaweza sukuma kete.
Kuhusu kuingia vitani hilo swala limeongelewa sana na vyombo vya kimataifa how Russia is forcefully using jail inmates to engage in the war.
Sasa hujui mtu alikuwa kwenye position gani mentally kukaa jela bila ya kesi kusikilizwa miezi nenda miezi rudi is stressful enough na wala hujui mahusiano yake na wafungwa, wala aina ya jela yenyewe sehemu zingine lockup ni 23 hours.
Ndio shida ya kupeleka diplomats kwa kupendeleana na kuacha trained civil servants fit for those posts. Yaani mwanafunzi yupo jela ubalozi haujui kijana wa watu anatumiwa kama chombo na vita ya wengine na mpaka anafariki hawana habari.
Bongo poa tu, ila hii skendo nchi nyingine inaondoka na ajira za watu kadhaa, very incompetent people.
akili za kitotoMtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia.
Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
Kumbe!!Sakata lenyewe la madawa siyo kama aliwahi kujihusisha na biashara hyo
Ndg wanakuambia mwanamke ndiyo alimchomekea madawa ili kumkomoa,baada ya mwamba kumcheat mwanamke wake na mwanamke mwingine...
Ova
Waisrael wanathamini sana raia wao hawawezi kukubali raia wao afe then utolewe ufafanuzi finyu kama huo kutoka kwa waliompeleka vitani halafu waridhike never.Balozi wa urusi hapa tz angeitwa na kuambiwa atoe maelezo ya kina na nchi yake ilipe fidia kwa kukiuka mikataba ya kimataifa kuhusu haki za wafungwa
Aliambiwa achague kutumikia kifungo chake au atolewe akapigane mkabala na wagner group
Muno munowaziri ametuangusha.
Sema kuna yule wa Zambia piaa tena alikuwa mwanafunzi nae...!!Muno muno
Hujui usemalo. Mfungwa anaweza kufanyishwa kazi zozote na yule anayemfunga. Haki zake hurejea anapomaliza kifungo chake. Hivyo, mnaodhani mtapata fedha tokana na kadhia hii mnajidanganya. Isitoshe, mwamba wenyewe Urusi.Alikuwa mfungwa Kwa kosa lipi? Wapi mikataba inaruhusu wafungwa kwa njaa au ujinga wao kupelekwa vitani?
Acheni wivu wa kijinga. Kinachogomba hapa ni haki za mtu. Kumbuka haki ya mtu ni yake hata kama wewe hutapata lolote.
Kinyume cha hapo ni wivu tu kama alioutambua bwana Sitta.